mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
Ipo siku mtakoma kuzaliwa kama hizo sio asante za wachina basi mmeponea, ila ikiwa ni aksante za wachina mmekwisha, mnamiliki vingi sawa ila kama ni pamoja na vile ambavyo vilichangiwa na jasho la wananchi vitarudi kwa umma.
