Yaliyojiri katika Uzinduzi wa Ukumbi mpya wa CCM Dodoma

Yaliyojiri katika Uzinduzi wa Ukumbi mpya wa CCM Dodoma

CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali

We Kipanga mla mizoga, yaani hujui kwamba mali za CCM zote ni mali ya watanzania tuliokuwepo toka enzi ya chama kimoja? Hadi sasa bado hatuja fanya 'auditing' kujua ni kipi CCM wamemiliki kabla na baada ya vyama vyingi. Ni issue ndogo anyway, wakati mwafaka ukifika tutadadavua.
 
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali

Chadema badobado wapo mpaka Matei atakaporidhikd na ulaji wa fungu la kumi la ruzuku toka chadema.
 
chadema wenzenu wanatengeneza vitu vya kutoa ajira kwa watanznania nyie mnRUKA NA CHOPA TU,AKILI NI MALI,
 
Kweli manyinyiemu na manyinyiemu tuu..miaka 38 ya uhai wa ccm ndo mnakuja na jengo...hapo mmesaidiwa na richmond, epa, kiwila, escrow na sasa mabehewa feki......
 
We Kipanga mla mizoga, yaani hujui kwamba mali za CCM zote ni mali ya watanzania tuliokuwepo toka enzi ya chama kimoja? Hadi sasa bado hatuja fanya 'auditing' kujua ni kipi CCM wamemiliki kabla na baada ya vyama vyingi. Ni issue ndogo anyway, wakati mwafaka ukifika tutadadavua.

wanajenga na kuajiri watanzania nyie mnampeleka slaa memukwa ya uongozi kwa waliberari,hongereni sana,sijui mnamfaidisha nani.

Kama si uzalendo wa waasisi wa CCM leo hii kila mali mlizochuma toka TANU wangekuwa nazo mafisadi wakubwa ndani ya lichama lenu.
Kama toka 1977 leo ndo wanajenga, je CDM ya 1990 watatakiwa kujenga lini?
Kama ulisoma hesabu jibu
 
Kweli manyinyiemu na manyinyiemu tuu..miaka 38 ya uhai wa ccm ndo mnakuja na jengo...hapo mmesaidiwa na richmond, epa, kiwila, escrow na sasa mabehewa feki......

oke! najie chukua ruzuku mkampeleke padre mamukwa ya utawala bora kwa wazungu,ili ajue maana alikuwa anachunga kanisa la mungu wakati wenzake wanajifunza utawala bora,
 
Kama toka 1977 leo ndo wanajenga, je CDM ya 1990 watatakiwa kujenga lini?
Kama ulisoma hesabu jibu

hawawezi kujenga hata wakikaa miaka 100 maana wao wamewekeza kwenye kuruka na chopa kila siku,
 
Wanasubiri wejengewe na kada wa CCM Sabodo.
 
hawawezi kujenga hata wakikaa miaka 100 maana wao wamewekeza kwenye kuruka na chopa kila siku,
Mkuu usiseme hivyo. Unakumbuka ilisemwa hata ikibidi wananchi kula nyasi watakula ila ndege ya raiskununuliwa ni lazima? Ile ndege inafanya nini leo! Iligharimu kiasi gani!/ Ni shida.

Nadhani afadhali hata hawa wanaruka na chopa lakini wanawaamsha wananchi toka usingi waliolazwa muda mrefu na chama tawala.
 
Nini maana ya kauli hii, sielewi kabisa boss analalamikia wafanyakazi wake aliowapa ajira.
...
Bado anazungumzia jengo jipya na kushuguli pia ya kukodisha jengo hilo, anasema CCM inaviwanja vingi na vingine wakubwa wanagawana. ...
 
Nini maana ya kauli hii, sielewi kabisa boss analalamikia wafanyakazi wake aliowapa ajira.
Jengo hilo jipya halitakuwa tu likitumika kwa shughuli za chama bali hata kukodisha kwa watu kwa shughuli mbalimbali...
 
We masikini soma vyema ile post yako taratibu usikimbie kutaka kujibu alafu na sehemu niliyoweka green uelewe kisha jibu hapo.
Jengo hilo jipya halitakuwa tu likitumika kwa shughuli za chama bali hata kukodisha kwa watu kwa shughuli mbalimbali...
 
fuatilia historia ujue mali zaccm nizanani nijuavyo ccm hawanamali
 
Bora wqnapora wanajenga vikaonekana sio nyie ambao mnakodi na hela za ruzuku mnakopeshana nyambafuuu

ruzuku kina mbowe wajenge halafu pesa ya kujirusha burj al ajabu,dubai na mchepuko itoke wapi?
 
Back
Top Bottom