Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Big up ''Mkuu'' for wise and learned explainations.
 
Lol....team lowasa siwaoni ,nitafuteni nipo hapa bar ya Raibow dodoma ...siwaoni kabisa au mzee amekatwa ...uwiiii
 
...ngoja madaktari wao waje kuleta ripoti....
 
Kikwete ni raisi wa Tanzania lakni sio Mungu.hawezi kutuchagulia watu wakati yeye mwenywe ni failure.
 
Hii kiboko! wawili tuu basi?hii kiboko haya tuambie katika hii top 5 chaguo lako ni yupi?
 
jk kaamua kumbeba membe jumla . duh mi nasubiri tu hapo dodoma pachimbike maana kingunge alisema lowasa akikatwa patachimbika.
 
Mimi si support sana ccm ila kwa wanaohoji uwezo wa Makamba nafikiri hawamfahamu vizuri dogo ni mzima sana kichwani na naona kuna kila dalili ya kuwa Rais 2025 kama ccm itapita mwaka huu anaweza kupewa wizara ya mambo ya nje. Magufuli kwa utendaji wake wa ukali na kutofahamika sana kimataifa ana nafasi kubwa ya uwaziri mkuu.
 
Nauona mwanzo wa mpasuko mkubwa ndani ya ccm unakuja miezi michache ijayo.
 
Narudia tena lowasa akipita nameza kisu niliweka nadhiri
 
Kimweri wala usipoteze muda kujua nani hapo atakuwa mshindi, Mshindi ni Benard Membe wengine ni wasindikizaji wake. Top 3 tegemea kuwaona Membe, Makamba, Magufuri.


Nakubaliana na wewe 90%.,ingawa nadhani ticket ya membe bila mwanamke haiendi kokote. na Asha seems to fit the bill.Ingawa Amina is no slouch either.
 
Sasa ndiyo mapinduzi ya kidemokrasia ndani ya chama. Wazoefu,vijana na wanawake. Naona sasa ni zamu ya wanawake mana upepo wao ulianza kuonekana Siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…