Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Pasco pole it was expected sema mapenzi na watu ambao walichomekwa mkawa mnawaona wanawaunga mkafanya underestimation ,ningepewa hata dk 05 tu za kuongea na EL ningemshauri ahame chama mapemaa kabla hata ya aibu hii haijamkuta,ACT is open for lowasa

haa haa lowasa akitaka amfuate mramba ukonga afanye hayo unayosema kwenda uko act.
 
Last edited by a moderator:
hapo ndo watajifukia kabisa kwenye jeneza lao. Si unaona makinda anavyombwela

Kwani waTz tunalijua hilo, as long as tunalishwa sumu ya mabadiliko kwamba for once tuwe na raisi mwanamke alete mabadiliko tutavote na vigelegele juu yakituzidia ndo tunajuta, mwisho wa siku huyo mama lazima atumike sababu hakutegemewa na alikuwa weak competitor, hvyo kuwekwa kwake kutakuwa ni makusudi kwa maslahi ya kundi fulani.
 
Bahati mbaya wafuasi wa Lowassa ni watu wanaongalia maslahi, tegemea leo hiihii watu hao mmoja mmoja taratibu wameanza kuwapigia simu waliopitishwa,tusubiri tuone wale wa ukweli kama Serukamba wapo wangapi.

wengi njaa ndo zinawasumbua...
 

Zama za kuamini kuwa mgombea wa ccm ndo rais zimepitwa na wakati mzanzibar tena mwanamke haitatokea.
 

Hapo umechemsha na unaonyesha jinsi gani usivyo mchambuzi mzuri wa siasa za kibongo sababu kwa hatua hii iliyofikia kila kitu kipo automatic kabisa. Hapo Membe anakwenda moja kwa moja kupeperusha bendera ya CCM,hoja yako ya kuwa eti Membe ana makundi hiyo haina mashiko sababu ukizungumzia hiyo hoja Membe angetakiwa atoke na Mamvi kwenye hatua hii cha kushangaza kapita. Kuhusu hao wanawake ni mapema sana kuweza kushika nafasi kama hii hao wamewekwa hapo kwa ajili ya Gender tuu na kwenye hatua inayofuata mmoja lazima atoke na kwenye Mkutano Mkuu mmoja atakuwa Mgombea Mwenza na mostly like Magufuli atakuwa P.M.
 
Ngumu sana ku-rule Mkutano Mkuu... kupita Mkutano Mkuu inategemea sana umejipanga vipi lakini kubebwa; sahahu! Kwa mtazamo huu, hapo ni Membe au Magufuli; PERIOD na ndio maana hawakutaka Lowassa aguse kabisa kule manake ingekuwa ni ngumu kumdhibiti!
 

Haa ha ha..upo makini sana kuangalia
 

Ukawa wakimchukuwa Eddo mi naachana na siasa na nahama ukawa.
Kuna facts na uadirifu nje ya ushindi: Ccm wamalizane huku sisi ukawa tunayetu

Dr. Slaa for Presidency:
 
Sina mengi Ila jiandaeni kuongozwa tena na Familia ya Kikwete.
Kama Ukawa hawatashinda basi kile kilio cha kusaga meno cha miaka 10 ijayo cha kuongozwa na Familia/ukoo wa Kikwete kinaanza tena.
Ni mateso mengine ambayo sitaweza kuyavumilia
 
Kumbe Amina salim ni bora kuliko Mzee wa Mafuriko
Amina Salim anaweza kuwa ni dhaifu kama huyu anayemaliza muda wake na kwa hivyo ni bora kuliko mzee wa kufurisha watu ambaye ni fisadi aliyekubuhu na anajivunia ufisadi, anakebehi masikini ambao ufisadi wake umechangia umaskini wao, msanii wa kisiasa, na mbaya zaidi alijikweza mno - kwamba yeye alikuwa sio mshindani bali ni mshindi!! Ni mtu hatari sana kwa taifa hili. Rais ye yote atakayechukua madaraka (awe ni CCm au UKAWA) itabidi amsweke huko Segerea akacheze segere matata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…