Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imeende UKAWA mchana kweupeeeee
Pasco pole it was expected sema mapenzi na watu ambao walichomekwa mkawa mnawaona wanawaunga mkafanya underestimation ,ningepewa hata dk 05 tu za kuongea na EL ningemshauri ahame chama mapemaa kabla hata ya aibu hii haijamkuta,ACT is open for lowasa
licha ya kuwa na watu wanaoonekana wana mipango mizuri lakini Lowasa hakutambua janja hii?? Naona mpasuko mkubwa ndani ya CCM baada ya hapa.
Kumbe katiba inataka kuvunjwa na watz mnashangilia? J Makamba katimiza lini miaka 40?
hapo ndo watajifukia kabisa kwenye jeneza lao. Si unaona makinda anavyombwela
Wapi MUSSA ALLAIN....
Bahati mbaya wafuasi wa Lowassa ni watu wanaongalia maslahi, tegemea leo hiihii watu hao mmoja mmoja taratibu wameanza kuwapigia simu waliopitishwa,tusubiri tuone wale wa ukweli kama Serukamba wapo wangapi.
UKAWA kazi kwao maana wamerahisishiwa kazi.
Atakayechaguliwa kati ya hao ni mwanamke mark my words, na only kutafuta sympath ya wapiga kura ambao wengi ni wamama, vilevile hao wamama hawana makundi kama january na membe. Hawawezi kumpitisha membe wala january sababu wanajua italeta makundi na mpasuko since kuna uhasama na team lowassa. Lazima wapige chini makundi..... mtanikumbuka kwa hili. Next presidency candidate from CCM is a woman and my guts tell me ni Amina
Atakayechaguliwa kati ya hao ni mwanamke mark my words, na only kutafuta sympath ya wapiga kura ambao wengi ni wamama, vilevile hao wamama hawana makundi kama january na membe. Hawawezi kumpitisha membe wala january sababu wanajua italeta makundi na mpasuko since kuna uhasama na team lowassa. Lazima wapige chini makundi..... mtanikumbuka kwa hili. Next presidency candidate from CCM is a woman and my guts tell me ni Amina
Ngumu sana ku-rule Mkutano Mkuu... kupita Mkutano Mkuu inategemea sana umejipanga vipi lakini kubebwa; sahahu! Kwa mtazamo huu, hapo ni Membe au Magufuli; PERIOD na ndio maana hawakutaka Lowassa aguse kabisa kule manake ingekuwa ni ngumu kumdhibiti!Atakayechaguliwa kati ya hao ni mwanamke mark my words, na only kutafuta sympath ya wapiga kura ambao wengi ni wamama, vilevile hao wamama hawana makundi kama january na membe. Hawawezi kumpitisha membe wala january sababu wanajua italeta makundi na mpasuko since kuna uhasama na team lowassa. Lazima wapige chini makundi..... mtanikumbuka kwa hili. Next presidency candidate from CCM is a woman and my guts tell me ni Amina
Do you think so?
Kwa tume hii na sheria hizi za uchaguzi bila kusahamu enforcement agency.
Mtazamo wako unahitaji uvumilivu mkubwa kifikra!
Hebu iangalie na kuisoma body language ya bosi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa, Jaji Damian Lubuva kwa Rais Kikwete!
Nadhani utaelewa maana ya kile ninachokisema!
CCM could have an easier campaign, they chose the hardway, UKAWA wanatakiwa washangilie kwa kweli. CC couldn't have botched the mission worse than they have!
Huku namuona "raisi wa kipekee duniani", huku namuona bidada UN iliyomshinda, huku namuona Amina-mwerevu, ila sio mwenye kufahamika.
wamejitahidi kwenye sehemu ya uadilifu, ila sehemu ya Mvuto overall top 5 yao iko around 40%. wajiandae kuchapisha noti za kutosha kuiuza hii timu.
Kama mamvi ataamua kumwaga mboga na kuhamia UKAWA, hawa top 5 yao yote ana uwezo wa kutunishiana nao misuli, kwani wengi wana vijikashfa vya kuwapakazia kwenye media. Ukichanganya na pesa zake.., Lowassa has a very goo chance to make 2015 a memorable election.
CCM had the driving seat, but as usual they gave the steering wheel away.
Dr.Slaa,Lipumba and team must be on Lowassa speed dial by now.
Hahahaahah....mzee lowasa kwisha habari yake sasa mapambano ndo yanaaanza sasa
Zama za kuamini kuwa mgombea wa ccm ndo rais zimepitwa na wakati mzanzibar tena mwanamke haitatokea.
Amina Salim anaweza kuwa ni dhaifu kama huyu anayemaliza muda wake na kwa hivyo ni bora kuliko mzee wa kufurisha watu ambaye ni fisadi aliyekubuhu na anajivunia ufisadi, anakebehi masikini ambao ufisadi wake umechangia umaskini wao, msanii wa kisiasa, na mbaya zaidi alijikweza mno - kwamba yeye alikuwa sio mshindani bali ni mshindi!! Ni mtu hatari sana kwa taifa hili. Rais ye yote atakayechukua madaraka (awe ni CCm au UKAWA) itabidi amsweke huko Segerea akacheze segere matata!Kumbe Amina salim ni bora kuliko Mzee wa Mafuriko