Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


No doubt,and by denying an authentic truth,men we could be making fallacious arguments. Look at the presidential candidates top five,only Magufuli belongs to the other group of believers,the rest are of the same faith!
 
Wewe utakufanna kijiba roho chako hiko mwehu weeeee wenzako ndo hao tumeshamjua Presdent wetu hatutaki shida.

Acha kupaniki kila mtu ana haki ya kutoa maoni.Mabilioni ya Libya na kodi msizolipa kwenye biashara zenu zitawatokea puani.Acha kila mtu awe huru kutoa maoni yake.
 
Mkuu,
Ninakubaliana na uchambuzi wako.
 
Wafuasi wa Lowasa watamtoa Membe kwa kura ya hasira. But this is a Makumbusho guy! Who knows. Magufuli anachagulika nje ya Chama. Anyway, let's wait and see. JK has exercised what Mkapa failed to do!
 
Sasa naendelea kuthibitisha kwa vitendo kuwa lowasa ni muongo. kikwete na lowasa walikutana barabarani
 
ukawa tushindwe wenyewe tu maaana huu ugomvi wao hauishi leo
 
Ahsante Mungu kwa kusikia kilio cha watanzania, manake angepitishwa huyu mamvi waja wako tungepata shida sana.
Membe iz our new prezidaaaaaaaaa
 
Hii taarifa kama ni ya kweli na ya mwisho kwa Top 5 ya ccm!! Basi kinachotegemewa ni kua:
Mh.Magufuli kupeperusha bendera ya urais.

na muelekeo wa serikali ijayo ni km hivi:-
-Rais = Magufuli
-Makamo = Bilali
-PM = Membe, Sita, Mwakiembe, Migiro au Muhongo.

-Nchimbi, Mwingulu, Makamba = uwaziri kamili.
-Makongoro, Amina = Nafasi nyeti kitaifa au kimataifa.
 
Dua za watanzania zinamekubalika ndani ya mwezi huu mtukufu ccm inakwenda kuangamia
 
Ukiona habari ina membe top5 ujue ni fiksi... Huyo jamaa hata top 20hawezi kuwepo

kwa taarifa hilo ndo chaguo la mkuu. angalia nafasi ya uwaziri alioipata. aliwekwa ile mkuu aliokua nayo kabla ya ukuu ahifadhi MAMBO. ILE ya mambo ya nje. SASA Mkuu anang'atuka anataka ashike nafasi yake ili ahifadhi MAMBO
 

Uchambuzi mzuri usio kuwa biased.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…