Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Hahaahaha it is too late rafiki dua la kuku halimpati mweweHivi Mwinyi na Mkapa wameshindwa kumshauri JK kwa kusoma upepo? Ni dhahiri chama kinaweza kumfia mikononi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahaha it is too late rafiki dua la kuku halimpati mweweHivi Mwinyi na Mkapa wameshindwa kumshauri JK kwa kusoma upepo? Ni dhahiri chama kinaweza kumfia mikononi.
yaani watu kama wewe ni mizigo kwa taifa! dini na urais Tanzania vinahusiana nini? akiwa muanglikana au muislam hafai kuwa rais? acha ubaguzi kama unataka rais wa dhehebu lako basi mumchague aongoze dhehebu lenu na si nchi...ikiwa unavyotaka wewe basi rais achaguliwe padri au shekhe! shame on you...
Unatoa povu tu hapo wewe huna jipya, sio kulinda maslahi ya ccm bali ni hata yako wewe kilazaKweli kabisa yaani Rais atakuw MEMBE ili alindwe maslahi ya Ccm hana mvuto membe
Wewe utakufanna kijiba roho chako hiko mwehu weeeee wenzako ndo hao tumeshamjua Presdent wetu hatutaki shida.
Mkuu,Huyo(Makamba) kawekwa kwa sababu kuu 4
1.Hana kundi kubwa la kuweza kumuathiri Membe kwenye NEC na Mkutano Mkuu
2.Wanamuandalia mazingira ya 2025
3.Wanajaribu kuzuga kuwa hata vijana wana nafasi-amewakiisha kundi la vijana
4.Ni kulipa fadhila za mzee Makamba
Ukiona habari ina membe top5 ujue ni fiksi... Huyo jamaa hata top 20hawezi kuwepo
1.Members:.Huyu ni ndugu na kipenzi wa mwenyekiti na familia kwa ujumla, alishaandaliwa toka siku nyingi,ndo maana hata jana Rais alipoteua wasaidizi wake Ikulu ilikua lazima mtu ufikirie Mara mbili mbili na huyu ndiye mgombea atakayepeperusha bendera ya chama.
2.Magufuli:Huyu nae utendaji wake pekee ndiye uliempatia nafasi hakuna kiingine japo nae ni swahiba wa karibu wawenyekiti.Kwake kupenya kwenye vikao vya mbele ni ngumu sana Labda busara ya kawaida tu itumike.Anaweza kua PM japo kiuhalisia yeye ni bora kuliko wote walioteuliwa.
3.Asha Rose Migiro: Huyu kwanza jinsia ndiyo kigezo pekee japo nae alikwishaandaliwa toka siku nyingi lakini baadae upepo ukahamia kwa mebe. Kwake kupenya mbele inategemeana na kelele za wanawake wenzake mkutano mkuu.
4.Mama Amina: Huyu jinsia na Uzanzibar wake kama mwanamke ndivyo vilivyombeba, Kuna uwezekano mkubwa akawa makamu wa Rais maana naye kupenyeza kwake mbele ni kelele za wanawake wenzie huko mkutano mkuu.
5.January Makamba: Ikumbukwe kwamba huyu bwana baba yake aliwahi kua katibu mkuu wa chama, hiyo pia ni sababu kwahiyo kuna uwezekano kwamba hii ni fadhila na anaandaliwa kwa baadae kumrithi atakaekua Rais,Sidhani kama Janauary Makamba Anaweza kumkaribia Mwigulu nchema kiutendaji wa kazi.Anayo nafasi kubwa sana kupenyeza huko mbele maana wanaomuunga mkono ni wengi lakini atawekwa kando kama JK 1995 nasubiri baadae.
Ukweli na uhalisia ndo huo!