Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mm sioni tatizo hapo. Ccm hawana mtu mwingine zaidi ya uyo member na kama yupo hakutangaza nia. Lowassa HATUFAI.
Apo ccm wameingia wenyewe kwenye 18 kama matokeo yatabakia hivi basi ndiyo mwisho Wa ccm
 
Akihamia Chama Kingine mtamfwata?

hapa simaanishi unavyofikiria wewe, changanya vyote na wote ulioshabikia. Mf Mh

Lowasa na wengine wakijiunga na upinzani utafwata au unafiki na njaa? Pamoja na

ukweli kwamba huyu bwana haendi popote. Chama kimefikia ukingoni. Mh atasaidia

sana kukihifadhi akinyamaza kimya tugange yajayo, lkn akitaka kuwaokoa watanzania

ni yeye kukaa pengine PEMBENI AM UPINZANI
 
Nasikia lowasa alikuwa Katimu bilioni 50 mpaka kufikia usiku wa kuamkia leo km mtaji wa urais.
Watu hawana tatizo. Wanataka hela zake tu. Wengi wanaona kukatwa mapema yake mafungu ya mabilioni yaliyokuwa yametengwa itakuwa ndo basi tena
 
Kwa jinsi wanavyopenda kutafuna nchi mimi naamini mwishowe wataungana tu kumpiga tafu mpeperusha bendera wao.

Hii nchi tamu bana....hususan kama unayo meno ya kuitafunia.....

Ni kweli mkuu. Ccm haitabiriki
 
Kwa jinsi wanavyopenda kutafuna nchi mimi naamini mwishowe wataungana tu kumpiga tafu mpeperusha bendera wao.

Hii nchi tamu bana....hususan kama unayo meno ya kuitafunia.....


Ha ha this is Africa mazee yaani unajiuliza whats so special unakosa jibu....
 
Apo ccm wameingia wenyewe kwenye 18 kama matokeo yatabakia hivi basi ndiyo mwisho Wa ccm

Naunga mkono hoja,kwanza running mate kuwa mwanamke wa kizanzibari ambae aibu ni kila kitu,mmmh majukwaani,tena bara !
Ila atasaidiwa na Kamanda "embe",
ndo maana bungeni alitambuliwa Ngunguli
 
Hata siamini kilicho tokea, ila nimefurahi fisadi lowasa katemwa. TUONE KAMA PATACHIMBIKA AU LA.

SASA NDIO TUTAJUA LOWASA NA CCM NANI ZAIDI.

kweli ilisemwa sana kiwa akishindwa kitachimbika sasa tuone,cha mno aingie msituni tu mana hakuna namna nyingine tena
 

Hujui ikulu kunafanyika nini. Hapo hamna kwenye sifa za urais! Soma upya sifa zinazotakiwa.
1.Frederick Sumaye
2.Jaji Augustino Ramadhani
3.Balozi Mahiga
4.Prof Mwandosya
5.Amina Salum Ali

Watu wenye kelele hawafai ikulu!
 
Waliopita ni;
1. Membe
2. Magufuli
3. Migiro
4. Makamba
5. Amina

Labda Magufuli ndo afadhali wengine hao oovyo kabisa.





Wapi Mwigullu
Mwandosya
Mwakyembe
Ramadhan
Pinda
Unatuwekea Makamba? Membe? Amina? Migiro? Huu utani sasa..... mmeichoka hii nchi nyie.
 
Naona CCM wakifanya kitendo kama kile cha Spika cha kutumia kigezo cha Mwanamke.
Hapa mgombea ni Asha Rose Migiro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…