Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Membe awe rais!!Hapana,Hapana. Huyu jamaa ana visasi,kuna watu watakimbia nchi au watapotea mab-pande msituni. Team Lowasa wataamua nani atakuwa mgombea kupitia CCM,siyo Membe.
 
Amina ali salum naamini atakuwa Rais bora, japo hawezi shindana na joka la mdimu linalotumia mizimu ya kimwera
Mimi nilikuwa team mwigulu na bado naamini katika agenda ya wa Tanzania,
Makamba is finest upstair ila bado dogo
 
Kwa makamba na Lowasa sikuungi mkono. Endelea kutaja wengine............ kasikazini tunawatu wengi na makini.
 
Mamaaaaaaa!!
Hapo kwangu ni Magufuli tuu, hao wanawake wamepitaje hapo na huyo Membe ana tofauti gani na Lwasa?
Kama hawampitishi Magufuli, na-vote UKAWA. Very simple!
Alafu Kikwete asi-force mambo, anataka aendelee kuwa rais kupitia Membe, HAIWEZEKANI. pia waache kukariri kuwa ukiwa foreign minister ndo uwe mpeperusha bendera wa sisiemu!
MAGUFULI ALL THE WAY kama wanataka ushindi maana anakubalika ndani na nje ya sisiemi!
 
Ufinyu wako wa mawazo unakuchora ni namna gnai hufai kwa ujenzi wa taifa na ukombozi wa wanyonge.

Watanzania hatutaki itikadi za ukabila.

Baada ya kuvunja utemi na uchifu, hatuhitaji kuongozwa kwa misingi ya makabila au makanda. Tanzania ni moja. Tunamtafuta kiongozi sahihi wa Tanzania bila kujali anatoka kanda gani, yeye ni rangi gani, au dini gani.

Hayo mambo mambo ya kutengeneza itikadi za migawanyiko kwa watanzania hatutaki!. Sisi sote ni taifa moja!.
 
Back
Top Bottom