Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Kumekuwa na ubaguzi wa hali ya juu sana ndani ya cm kuhusu watu wanaotoka kanda ya kaskazini na kihistoria watu wanaotoka kanda ta kaskazini wanapopewa nafasi za juu huwa wana deliver sana.
Mfano, sokoine, msuya nk
napenda niseme mwaka huu ni mwaka wa kaskazi piga ua galagaraza ni kaskazini dr.slaa,makamba,lowassa
Kaskazini ...Nyanda za Juu an Ziwa wote wameungana maana kwa pamoja ndio wamekuwa victims wa ubaguzi ndani ha ccm