Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ahsante Mungu kwa kusikia kilio cha watanzania, manake angepitishwa huyu mamvi waja wako tungepata shida sana.
Membe iz our new prezidaaaaaaaaa

Kwa kweli leo ni siku ya historia. Angepita tungejuta kuzaliwa. JK baba umetutoa kimasomaso
 
Nampongeza sana huyu jamaa anayejiita dubu, kafanya kazi kubwa sana ya kuleta update humu jamvini. Shukrani sana mkuu naona hukulala ili utujuze yalokuwa yakijiri huko Dodoma.
 
Sasa umefurahi nini sasa wakati hata hao walowekwa bado ni walew
ale tu.
 
Nasubiri tena Membe akatwe moyo wangu utulie. Magufuli the candidate
 
Ila wakuu tuwe wakweli,Membe hana material

Kikwete anataka aendelee kuwa rais! Katiba "hairuhusu". Membe ni pandikizi lake ila ukweli HAMNA kitu.
Alafu Membe ameshajenga makundi kama Lwasa tu, sijui kapitaje kwenye hiyo kamati ya maadili kama sio kikwete ku-force.
 
Hijawahi kutokea, mbwembwe zoote, pesa zoote na nguvu zoote alizotumia mh Edward lowasa na sasa ametolewa nje!

Janja ya lowasa ilionekana toka zamani alijifanya kuwa na upendo kwa makundi mengi ya kijamii ilhali akijulikana dhahiri kuwa hafai ktk urais.

Nimefurahi sana anguko la ufalme huu wa Giza CCM!

Hujafurahi kama mimi aisee
 
Nasubiri tena Membe akatwe moyo wangu utulie. Magufuli the candidate

UHAKIKA NI HUU (bila kufuata namba) 👇👇

1. Magufuli
2. Membe
3. Migiro
4. January
5. Amina Salum

3 Bora itakuwa
1. Membe
2. Magufuli
3. Amina

Halafu Mgombea wa CCM ni
1. BENARD MEMBE

Mgombea mwenza ni
1. Amina Salum

Halafu Waziri Mkuu atakuwa
1. Magufuli


SijaiCOPY n PASTE kutoka kokote ILA ndio taarifa za NDANI.....kaa nayo hii hadi baada ya UCHAGUZI
 
Kumekuwa na ubaguzi wa hali ya juu sana ndani ya cm kuhusu watu wanaotoka kanda ya kaskazini na kihistoria watu wanaotoka kanda ta kaskazini wanapopewa nafasi za juu huwa wana deliver sana.
Mfano, sokoine, msuya nk

napenda niseme mwaka huu ni mwaka wa kaskazi piga ua galagaraza ni kaskazini dr.slaa,makamba,lowassa

We shetani wa ubaguzi!
 
UHAKIKA NI HUU (bila kufuata namba) 👇👇

1. Magufuli
2. Membe
3. Migiro
4. January
5. Amina Salum

3 Bora itakuwa
1. Membe
2. Magufuli
3. Amina

Halafu Mgombea wa CCM ni
1. BENARD MEMBE

Mgombea mwenza ni
1. Amina Salum

Halafu Waziri Mkuu atakuwa
1. Magufuli


SijaiCOPY n PASTE kutoka kokote ILA ndio taarifa za NDANI.....kaa nayo hii hadi baada ya UCHAGUZI

Hii naikubali. Ila ccm hawashindi urais
 
UHAKIKA NI HUU (bila kufuata namba) 👇👇

1. Magufuli
2. Membe
3. Migiro
4. January
5. Amina Salum

3 Bora itakuwa
1. Membe
2. Magufuli
3. Amina

Halafu Mgombea wa CCM ni
1. BENARD MEMBE

Mgombea mwenza ni
1. Amina Salum

Halafu Waziri Mkuu atakuwa
1. Magufuli


SijaiCOPY n PASTE kutoka kokote ILA ndio taarifa za NDANI.....kaa nayo hii hadi baada ya UCHAGUZI

Hebu Ukawa kaeni mkao wa kula.....


Watajiju mwaka huu
 
Back
Top Bottom