Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Kumekuwa na ubaguzi wa hali ya juu sana ndani ya cm kuhusu watu wanaotoka kanda ya kaskazini na kihistoria watu wanaotoka kanda ta kaskazini wanapopewa nafasi za juu huwa wana deliver sana.
Mfano, sokoine, msuya nk
napenda niseme mwaka huu ni mwaka wa kaskazi piga ua galagaraza ni kaskazini dr.slaa,makamba,lowassa
Unatoa povu tu hapo wewe huna jipya, sio kulinda maslahi ya ccm bali ni hata yako wewe kilaza
Nataka tu kusikia kauli ya Kingunge na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja na yule alietua kwa chopa pale Arusha maarufu kama "Msukuma".
Mm navyozani anafaa ni membe kuwa raisi
haha...lakini ukawa sio chadema tuu na huwezi jua, akichaguliwa professor?Ukawa wakimchukuwa Eddo mi naachana na siasa na nahama ukawa.
Kuna facts na uadirifu nje ya ushindi: Ccm wamalizane huku sisi ukawa tunayetu
Dr. Slaa for Presidency:
Hivi Mwinyi na Mkapa wameshindwa kumshauri JK kwa kusoma upepo? Ni dhahiri chama kinaweza kumfia mikononi.
Watatoa sticker yaendelee na shuguli zao
Kitakachomuuma zaidi ni yale mapesa aliyokuwa anayamwaga km mchanga wa bahari.Chonde mliopewa mapesa yale rudisheni hata kidogo basi ili kumpunguzia stress huyu mzee.
Kabisa, Halafu binafsi simwelewagi kabisaIla wakuu tuwe wakweli,Membe hana material
Ufinyu wako wa mawazo unakuchora ni namna gnai hufai kwa ujenzi wa taifa na ukombozi wa wanyonge.
Watanzania hatutaki itikadi za ukabila.
Baada ya kuvunja utemi na uchifu, hatuhitaji kuongozwa kwa misingi ya makabila au makanda. Tanzania ni moja. Tunamtafuta kiongozi sahihi wa Tanzania bila kujali anatoka kanda gani, yeye ni rangi gani, au dini gani.
Hayo mambo mambo ya kutengeneza itikadi za migawanyiko kwa watanzania hatutaki!. Sisi sote ni taifa moja!.