Ila wakuu tuwe wakweli,Membe hana material
Hujafurahi kama mimi aisee
tofauti ipo kubwa tuu..EL anakubalika zaidi na pia aliwahi kuonesha utendaji ulioleta majibu ya mambo ambayo yalikua magumu..kwene swala la maadili huko sifahamuMamaaaaaaa!!
Hapo kwangu ni Magufuli tuu, hao wanawake wamepitaje hapo na huyo Membe ana tofauti gani na Lwasa?
Kama hawampitishi Magufuli, na-vote UKAWA. Very simple!
Alafu Kikwete asi-force mambo, anataka aendelee kuwa rais kupitia Membe, HAIWEZEKANI. pia waache kukariri kuwa ukiwa foreign minister ndo uwe mpeperusha bendera wa sisiemu!
MAGUFULI ALL THE WAY kama wanataka ushindi maana anakubalika ndani na nje ya sisiemi!
Hebu Ukawa kaeni mkao wa kula.....
Watajiju mwaka huu
The Fall of CCM lol.....
Ungese huu huu wa kufanya kana kwamba Nchi yao ndio Mzee Kingunge alikuwa anaukemea juzi then watu wanamtukana. Huyu dogo na kikundi chake kidogo cha kijinga washaifanya hii Nchi ni mali yao peke yao kuwa wanatuamulia watakalo,kitanuka tuu muda si mrefu. Kumbe wanamfitini Lowasa kwa sababu ya Ukanda wake sio?
wamuweke huyo mwanamke watu tumalize mambo...