Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

CCM has chosen to fail, and they will fail miserably.

Njoo huku M4C kijana wetu uliyewahi kufananishwa na mtume.
 
Aahahahahhaa
 

Attachments

  • 1436588295279.jpg
    1436588295279.jpg
    28.8 KB · Views: 608
Mamaaaaaaa!!
Hapo kwangu ni Magufuli tuu, hao wanawake wamepitaje hapo na huyo Membe ana tofauti gani na Lwasa?
Kama hawampitishi Magufuli, na-vote UKAWA. Very simple!
Alafu Kikwete asi-force mambo, anataka aendelee kuwa rais kupitia Membe, HAIWEZEKANI. pia waache kukariri kuwa ukiwa foreign minister ndo uwe mpeperusha bendera wa sisiemu!
MAGUFULI ALL THE WAY kama wanataka ushindi maana anakubalika ndani na nje ya sisiemi!
tofauti ipo kubwa tuu..EL anakubalika zaidi na pia aliwahi kuonesha utendaji ulioleta majibu ya mambo ambayo yalikua magumu..kwene swala la maadili huko sifahamu
 
wasiwasi wangu mwenyekit analazimisha membe awe rais, kwenye tatu bora jina la magufuli na makamba hayatarudi hii inamamisha membe apite , ila kwa upande mwingine namsifu kwa kukata jina la huyu mwizi kwani alikuwa anajigamba kwa kutumia fedha alizotuibia
 
.... Taarifa zinazosambazwa juu ya majina yaliyopenyeza 5 bora siyo rasmi.


Taarifa rasimi itatolewa leo asubuhi majira ya saa nne.


Binafsi nina imani Makongoro ndani
 
Ungese huu huu wa kufanya kana kwamba Nchi yao ndio Mzee Kingunge alikuwa anaukemea juzi then watu wanamtukana. Huyu dogo na kikundi chake kidogo cha kijinga washaifanya hii Nchi ni mali yao peke yao kuwa wanatuamulia watakalo,kitanuka tuu muda si mrefu. Kumbe wanamfitini Lowasa kwa sababu ya Ukanda wake sio?

Ukimya na upole wetu ndo umetufikisha hapa wao wanafikiri ss ni wapumbavu,kitu wasichokijua ni kwamba wakati umegika na hakuna atakayeweza kuuzuia!wakati utaamua.
 
Inachekesha UKAWA wanavojipa moyo... Hahaha ingawa wao mpaka sasa haijuikikani ni nani?
 
Back
Top Bottom