Hamna sehemu nimezuia watu kujadili Kamanda mbona umepanic ghafla.Wewe naweeeeeeee.....unazuia watu kujadili...mbona wewe hua unamjadili Slaa...Tena ukimsikia yanagonga pichu
UKAWA hakuna nafasi ya kupokea mafisadi mkuu .UKAWA wakiruhusu Lowasa akajiunga nao...Nitakuwa wa Kwanza kuwakataaa.....Nitapiga kampeni wasipewe kura
LOWASA ni Mwizi kila mtu anajua hilo...Ni MWIZI anayejitapa kwa WIZI wake
Hamna sehemu nimezuia watu kujadili Kamanda mbona umepanic ghafla.
Kamanda hiyo ndiyo safu ya rais na waziri mkuu wa Tanzania.
Daa!!! Maana hiyo UKAWA wanapoteza muda wao bure.
Makamanda nadhani mmesoma huu ujumbe.
Asante Mungu kwa hatua hii na aya ndiyo maamuzi sahihi tunayotaka na siyo magumu coz ata vichaa ufanya maamuzi magumu kama kujisaidia mbele ya kadamnasi
Mkuu The Boss, politics sio static, ni very dynamics na zinachange with time!, katika uchambuzi wangu wote, sikuwahi hata mara moja moja kulifikiria jina la Amina!. Kati ya watano hao, sikutegemea CCM ituletee Waislamu watatu wakati wanaelewa fika safari hii ni zamu ya Wakristo, sikutegemea CCM ituletee wanawake wawili wakati wagombea wanawake wameingizwa tuu ili kuzugia kwa ajili ya kuvunia kura za wanawake. Mpaka hapa bado tunamzungumzia mgombea wa CCM, "jamaa yangu" bado ndie rais wetu 2015 ila kupitia nje ya CCM!.
Pasco
Kwa hiyo unawakubali Maghufuli na Membe wao siyo wizi.UKAWA wakiruhusu Lowasa akajiunga nao...Nitakuwa wa Kwanza kuwakataaa.....Nitapiga kampeni wasipewe kura
LOWASA ni Mwizi kila mtu anajua hilo...Ni MWIZI anayejitapa kwa WIZI wake
UKAWA hakuna nafasi ya kupokea mafisadi mkuu .