Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wanabodi,

Yale Mafuriko yaliyosumbua kwa muda mrefu katika kipindi cha karibuni hatimaye yamezuiwa Rasmi kwa Kalamu ya Sh.200 tuu pale Dodoma, baada ya Mamvi kukatwa kirahisi mno.

Ni simanzi kubwa sana, safari ya matamanio iliyokuwa na mafuriko makubwa kila pembe ya Jamhuri yetu, hatimaye imebaki kuwa Historia.

Cc: Pasco MUSSA ALLAN na wengine wote Team Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
UKAWA wakiruhusu Lowasa akajiunga nao...Nitakuwa wa Kwanza kuwakataaa.....Nitapiga kampeni wasipewe kura

LOWASA ni Mwizi kila mtu anajua hilo...Ni MWIZI anayejitapa kwa WIZI wake
UKAWA hakuna nafasi ya kupokea mafisadi mkuu .
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
embe ww sio mtendaji na wala vigezo hauna..ni basi tu una mvuto na hendisamu..sasa basi tunakuomba uache porojoo nyingii uache usaniii ufanye kazi km ukipita ukichaguliwa...Tunakuomba sana maana taifa linaangamia..umebebwa ndio hiyo inaoenekana kabisa wazi ila basi tunaomba ubebeke na uwe mtendaji ufanye kazi utupe maendeleo..in short prove thrm wrong.mambo ya kupenda kusafirisafiri kwa sasa achana nayo hatutaki muendelezo wa jk maana na ww unapenda sana goodtime ilo linaeleweka! Cha msingi bebeka basii tupo nyuma yako.
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
Kamanda hiyo ndiyo safu ya rais na waziri mkuu wa Tanzania.

Daa!!! Maana hiyo UKAWA wanapoteza muda wao bure.

Makamanda nadhani mmesoma huu ujumbe.


Kwa wenye akili wamenielewa

Kwa wasio na akili wanasoma on the Lines sio between the lines

Pole....Uko hivi si kwa mapenzi yako...Ni nature
 
Asante Mungu kwa hatua hii na aya ndiyo maamuzi sahihi tunayotaka na siyo magumu coz ata vichaa ufanya maamuzi magumu kama kujisaidia mbele ya kadamnasi

hahahahaa mkuu umeongea kitu kama cha kipumbavu flani ila kina mashiko ya hatariiii!!!
 
Mkuu The Boss, politics sio static, ni very dynamics na zinachange with time!, katika uchambuzi wangu wote, sikuwahi hata mara moja moja kulifikiria jina la Amina!. Kati ya watano hao, sikutegemea CCM ituletee Waislamu watatu wakati wanaelewa fika safari hii ni zamu ya Wakristo, sikutegemea CCM ituletee wanawake wawili wakati wagombea wanawake wameingizwa tuu ili kuzugia kwa ajili ya kuvunia kura za wanawake. Mpaka hapa bado tunamzungumzia mgombea wa CCM, "jamaa yangu" bado ndie rais wetu 2015 ila kupitia nje ya CCM!.

Pasco


Pasco unanishangaza sana
kama humjui Kikwete na kama huijui CCM...

Katika hao watano Asha ndie anaemtaka zaidi,akikosa Asha Membe
Akikosa Membe January.....

Kaweka watatu ili yoyote itakae muangukia asilaumiwe

Magufuli ana kura za kanda ya ziwa,anatumika kuwa please kanda ya ziwa ambao
wengi walikua kwa Lowassa.....halafu magufuli pia ni adui wa lowassa
so Lowassa akiwaambia wafuasi wasimpigie Membe still hawezi waambia wampigie Magufuli
so in the end kura zinaweza enda kwa Asha au January...
usisahau January ana kura zake pia nyingi tu,,,,na baba yake ni very popular
so utabiri wako wa magufuli unaweza collapse again kama ulivyo collapse kwa El
 
Last edited by a moderator:
UKAWA wakiruhusu Lowasa akajiunga nao...Nitakuwa wa Kwanza kuwakataaa.....Nitapiga kampeni wasipewe kura

LOWASA ni Mwizi kila mtu anajua hilo...Ni MWIZI anayejitapa kwa WIZI wake
Kwa hiyo unawakubali Maghufuli na Membe wao siyo wizi.
 
ukwel makufuli anafaa,ila ikumbukwe jamaa ni mtendaji na sio kiongozi,nchi inafaa kuongozwa na kiongozi,nimemuona mara kibao kwenye vikao vyetu vya TANROAD,huku mtu anapaswa kupewa uwaziri mkuu ili awe mtendaji mzuri wa kusimamia wizara nyingi,awe na ushawishi wa kumshauri atakayemteua...Membe hapana kabisa hana hadhi ya kua kiongozi.
 
Fursa nzuri kwa UKAWA kuchagua mgombea mzuri ili apambane na Membe kwani inaonesha Membe atakuwa mgombea na Balozi Amina Salum Ally atakuwa mgombea mwenza.
 
Back
Top Bottom