Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

CCM imekuwa na makundi tangu huko nyuma ila makundi ya mwaka huu yanaweza kukipeleka chama kusikojulikana, hii vita ni kali na gharama zake haziko mbali, labda watokee wenye busara waweke mambo sawa.
Sio afya kwa chama japo wanapga yowe kua wamerud ktk mising ya chama kitu ambacho ni kigumu kukipata sasa .
 

magufuli haitaji kujipanga,anaweza kutoboa kiulaini sana,kanda ya ziwa kumwangusha itakua ngumu...
 
Kwa hiyo unawakubali Maghufuli na Membe wao siyo wizi.

Magufuli ameshiriki katika ufisadi wa kujiuzia nyumba za serikali

Membe ameshiriki katika kujitafunia Pesa za Msaada za serikali ya Libya

CCM kila mtu ni mwizi...wanatofautiana tu kwa degreee...LOWASa ni FISADI mkuu
 
Rais ni membe, nilishaambiwa Kitambo na babu mmoja wa kimila ambaye alikuwa mtu muhimu kwenye ushauri kiroho wa regime ambaye amefariki hivi karibuni. Take my words. Sitaki kuulizwa kama utaki acha. Magufuri anaweza akajitoa huko mbeleni!kosa kubwa utakaloweza kulifanya membe kama baadaye atakumbatia manila moja kubwa banda ya ziwa ambalo zinaendekeza ukabila ambalo harakati zake almanusura ziangushe current regime.
 
Magufuli Yes

Ila chances za yeye kuchaguliwa ni ndogo sana.....kumpiku membe ni ngumu
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
Lowassa kanitumia sms ananiomba namba ya Mbowe..ndorooobo..
anasema "pipooooz..naomba namba ya kamanda mbowe.." nimemwambia sina ila nitamtumia ya zitto...
 
Membe ww sio mtendaji na wala vigezo hauna..ni basi tu una mvuto na hendisamu..sasa basi tunakuomba uache porojoo nyingii uache usaniii ufanye kazi km ukipita ukichaguliwa...Tunakuomba sana maana taifa linaangamia..umebebwa ndio hiyo inaoenekana kabisa wazi ila basi tunaomba ubebeke na uwe mtendaji ufanye kazi utupe maendeleo..in short prove thrm wrong.mambo ya kupenda kusafirisafiri kwa sasa achana nayo hatutaki muendelezo wa jk maana na ww unapenda sana goodtime ilo linaeleweka! Cha msingi bebeka basii tupo nyuma yako.
 
CCM imekuwa na makundi tangu huko nyuma ila makundi ya mwaka huu yanaweza kukipeleka chama kusikojulikana, hii vita ni kali na gharama zake haziko mbali, labda watokee wenye busara waweke mambo sawa.
Watoke wqpi hao wa busara labda wawagawie vitalu vya gesi kila mmoja na chake ili haki itendeke.
 
Sijajua kwa nin wapinzani wanafuraha kuona lowasa si mgombea urais kwa tiketi ya ccm.
Nini kipo nyuma ya furaha hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…