land of wind
Member
- Jul 1, 2015
- 46
- 13
Sio afya kwa chama japo wanapga yowe kua wamerud ktk mising ya chama kitu ambacho ni kigumu kukipata sasa .CCM imekuwa na makundi tangu huko nyuma ila makundi ya mwaka huu yanaweza kukipeleka chama kusikojulikana, hii vita ni kali na gharama zake haziko mbali, labda watokee wenye busara waweke mambo sawa.