Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Sasa nayakumbuka yale maneno ya JK aliposema kuwa kuna mgombea aliwachukua watu kwa gari lake wakampigie kura. Alipokosa aliwatelekeza watu hao

teh teh teh EL kawatelekeza mamluki aliowatumia kwa mwaka mzima..

Mkuu nasikia hizo basi zitapigwa mnada hapo hapo Dodoma.. mtujulishe maana tunajua bei itakuwa poa ili kurudisha gharama..
 
Hatimaye mafuriko yamezuilika kwa kidole cjui yalikuwa ya mkojo wa nzi?
 
Hakuna kitu kisicho na mwisho lakini mwisho utakuja zaidi pale tu jina la membe likipitishwa kama mgombea urais wa ccm team lowasa wataiua kabisa ccm yangu macho tu
 
UKAWA wasipoitumia vema nafasi walioipata wasahau kuja kupata bahati nyingine tena.
 

Shujaaa wako wewe na familia yako c watanzania
 
Atakayeungwa mkono na Lowasa ndiye atapita.Ifahamike kuwa makucha ya JK hayafui dafu ktk kura za NEC na mkutano mkuu.Kama Lowasa ana nguvu huko,tegemea kura za kumkomoa JK,Magufuli anapita kilaini kabisa

Zisipotosha kwa mgombea wa jk zitatoshelezwa zisipotimia zitatimilizwa
cc Pasco.
 
Last edited by a moderator:
nani atamuuza kwa wananchi? amefanya nini cha kumuuza kwa wananchi
wetu magufuli,
 
Lowassa baba tunakukubali sana! na tunajua wewe sio fisadi kama watu wanavyoaminishwa hapa! Binafsi sihitaji raisi ambaye ni maskini!

Raisi asiye na pesa za kutosha huwa ni msumbufu ! Atajitahidi hata bibi yake awe bilionea, na kujazana ikulu! hatutaki raisi asiye na pesa za kutosha ambaye atawafanya vitukuu wake kumiliki masemi nchi nzima na kuwa wauza unga China nakulindwa pale wanapokamatwa!

Lowassa unapesa za kutosha! tunaamini ulikua na mapenzi ya dhati kwenda ikulu! sio kuchuma pesa! wmekufanyia roho mbaya tu! Kubwa zaidi watanzania wengi wanakukubali!

Lowassa hujachelewa! tafuta sehem nyingine ya kupitia! Ingekua njema sana kama ukawa wangekupa nafasi hiyo!

Mimi sio mfuasi wa CCM, ila Lowassa namkubali! Lowasa sio fisadi! ila kwakua watanzania tumekariri kua mtu akipata utajiri mkubwa sana tunaanza kudhani kua atakua amefanya ufisadi! kama sio ufisadi watasema Freemasons.

Ukawa mkaribisheni Edo! huu ndo utakua mwisho wa CCM!
 
dalili zote za kisayansi na kimaumbile zinaonyesha kuwa mwezi November ccm itakuwa chama cha upinzani dah kweli ni vigumu sana kwa chama kimoja kudumu zaidi ya miaka 50 madalakani ccm itaungana na wenzie wakina KANU cha kenya, FRELIMO cha msumbiji, UNIP cha Zambia, UPC cha Uganda kwan wagombea wao wote ni uzito wa nyoya tuliokuwa tunawaogopa wamekatwa ukawa tutamaliza mpambano mapema wakati wengine wanakata tickets huku pambano limekwisha hata tukishindwa kuingia ikulu naona kwa mala ya Kwanza waziri mkuu na spika wa bunge akatoka ukawa hata kama tukishindwa kuingia ikulu tuna run government from back door kwan katiba inasema chama chenye wabunge wengi ndo kitamtoa waziri mkuu ccm kwa sasa wako isolated sana kuliko kipindi chochote kile sasa pia wanakutana na joint venture strike ya ukawa then BVR one person one vote dah kweli ni rise&fall of ccm empire is near than we think
 
Mkuu heshima kwako. Ninaomba tusubiri mzee wetu wa LUMUMBA labada atakuwa na mengi toka DODOMA. Na huyu si mwingine bali VUTA NI KUVUTE wa Lumumba.
 


kwa sababu lowasa alizidisha Mbwembwe
 

Dadavua vizuri tuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…