Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Walitakiwa wote wawili wasiingie. Sasa kumpitisha membe inaonekana ni mpango wa kifamilia zaidi. Hata mimi ningekuwa lowassa ningekataa. Wangekatwa wote. Period
 
Mara kumi wangemweka mama yangu JENISTA MHAGAMA au...MAMA MSHAMA....
 
Kwa akili zako kabisa,unaona Mako alikuwa serious anautaka urais?

Sitaki kujua nani alikuwa serious na nani alikuwa serious, jaribu kuelewa context nzima ya nikichokusudia kuongelea.
 
E.lowassa kukatwa sawa sawa kabisa ila pia Membe nae alitakiwa akatwe kwa sababu matendo mengi aliofanya EL na Membe kayafanya hivyo membe nae alishapoteza sifa(ninajiuliza kwa nini membe kapitshwa

Hivi hujui unafiki wa wanaCCM! Wamejaribu ku-please JK kwa kubakiza jina la ndugu yake ingawa nina uhakika atamsindikiza tu Magufuli
 
Kama ujuavyo mzee wa kusinzia al-maarufu tyson , inasemekana bado ameuchapa usingizi mzito na bado hajayasikia matokeo ya top 5.

So huenda akashtuka usingizini baadaye na kuulizia jina lake
AhahaaaA just jokes
 
Huo ujinga wa kumdindia mwenyekiti uko ukawa,ccm hakuna ungese kama huo.ukikatwa ndo bye bye hiyo.
 
Unyerere ulishamtoka zamani alichobaki nacho ni ufisadi,ndiyo maana alikuwa ana mpigania Lowassa ili ufisadi wake uendelee kuwa salama.
 
Lowassa Kimbisa Kimbisa Usain Bolt Tupo Center ya Mchezo Sentahafu Laigwanan mtu 5 Hakatwi mtu no no noooooo.
 
Duu...
unaambiwa masai kapandisha Mori
kachamaaa mbaya....
si unajua tena mori ikipanda anavyokuwa?
Hapo tungekuwa tunamteua MWENYEKITI wa bodi ya uhasibu tungesems;Balance sheet ya Bodi(CCM) imegoma ku-balance,yaani LIABILITY IS GREATER THAN ASSETS.CCM Asset was MAKONGORO while Liability was Membe and Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
kuna vijana wanaodaiwa kushawishiwa na lowasa ili waandamane... police limewatawanyisha huku wakiimba lowasa.....
 
Kutokana na matokeo ya wagombea ya tano bora ccm kutangazwa na mgombea ane aminika kutokuwepo tano bora inaonekana dhahiri kwamba ccm ni chama shupavu na kiisicho yumbishwa.
Nathubutu kusema hayo kwa sababu pamoja na Mamvi(EL) kutishia kwamba akikosa ridhaa ya ccm kupeperusha bendera ya urais atahama chama na nchi hii ita tikisika lakini wajumbe hao wa kamati kuu akiongozwa na JK hawakulijali hilo.
Nina uhakika kutokana na tano bora hao walicho angalia ni uwajibikaji na uaminifu.

Lakini pia wameona mbali kwani wangemchagua mamvi(EL) CCM wangepoteza kura nyingi mwaka huu kutoka kwa wananchi kwa sababu ana historia chafu.kuwa na watu wengi kwenye mikutano si kwamba wote wanampenda,kuana wengine wamepewa rushwa ili aonekane ana wafuasi wengi na wengine wanakwena kwenye mikutano kusikiliza atawadanganya nini.
NI MTAZAMO WANGU TU.
HONGERA CCM KWA KULIONA HILO.
 
Kwa mtazamo wangu niliamini alipojiingiza kwenye kamati ile alikua na mpango wa kuweka mizani sawa. hapa solution ilikua ni ama uwaache wote au uwaweke wote ila kwa sasa nimejua kumbe nia yako ilikua ni kumweka yule wa kwako kiufup umeshindwa na sina uhakika kama atapita akipata Magufuli imekula kwako na ulichotaka kulinda nategemea utapata wkt mgum maslah yako kupenya na ndio hasara ya kufanya biashara ikulu
 
Updates kutoka dodoma!

Mwenyekiti alipo wasili kwenye ukumbi ukumbi uli lipuka na kuanza kuimba tunaima na lowasa! Ndipo jk alipo cheka na kusema haijawai kutokea...na kuwbia wasiwe na jaziba mkutano utaisha salama!

Askari wa kutuliza ghasia wamejaa wa kutosha ukumbini na wajumbe wote waliambiwa waache simu mlangoni pamoja na waandishi!
 
me ndo nmefurahi hapa nausubiri mchepuko Wang tuchapane saaana kwa furaha

Kila la kheri ila kumbuka kutumia ngao

Kwa vyovyote vile ccm wanaingia tena ikulu na ugumu wa maisha utakuwa mara mbili ya hali ilivyo kwa sasa!

Nani ataweza kurudisha nchi katika hali nzuri kwa sasa?

Kamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni Chenge , Tibaijuka, Rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!

Malizia hapo kwenye deshi basi tujue ni nani?

Kuna watu niliwaambia kuwa jamaa hafai, wakaniwakia kinyama. Niliwaambia kwa macho meupe kuwa huyu Bw. ENL sio mzalendo kwa taifa na anaonea watu, walinivimbia, nadhani sasa wamenyamaza kimya kama ambavyo nami ningenyamaza kimya kama angepitishwa


Pole sana mzalendo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…