Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nimekuuliza swali...Hizo kura zitaitishwa katika kikao gani?
Nani atakuwa mwenyekiti wa hiko kikao hicho
Nilikuwa namuelewesha Member katika Post yake kuwa huko St Gasper kulikuwa na fujo kuanzia asubuhi na lengo la hao watu ni kugawa mlungula watu wamkatae Mkiti kwa kutokuwa na imani naye ili wamvurugie Membe na Magufuli
ndio maana nikasema mpango uliobaki ni kuvuruga tu NA HILO HAWATAAMBULIA
WANAUMBUKA km sasa wamekamatwa na ,apesa na Membe kakanusha



 
Rais kupitia ccm anachaguliwa na familia na kuamuliwa na hao tekweki family.
Ukawa pambaneni tutumie nafasi hii kuiangusha ccm.
 
hueleweki ndugu naona ushapanic, hatuchagui machifu hapa, Familia Familia ndo nini???
Wakati wa kumpitisha A man Karume hilo la kichifu hamkuliona ila mnaliona la kumienzi Nyerere ndo kuna uchifu! na hii ndo mantiki ya mada hii mkuu.
Lakini nikusaidie, mimu sishikiwi akiri na mtu katika kusema na kuenzi ninachokiamini wala sijaitaja familia yangu ikawe rais ila naongelea kwa mtizamo wa kisiasa na historia ya nchi yetu, nashukuru pia kwa mchango wako make ni sehemu ya siasa
 
Dr. Shein amepitishwa kuwa mgombea upande wa Zanzibar - Nape
 

Wameshindwa kuanza mkutano hadi muda huu. Hii kali sana nimevutiwa sana na Democracy ya CCM, iko so unique na haipatikani popote duniani
 
Jk ni mtumishi maalumu anayeiua CCM kwa chuki zake.
 
Ha ha ha ha atakapokuja kuzinduka atakuta misitu yote imefyekwa hata pakundandia ili apate nafasi ya kurukaruka hapatakuwepo tena,mahali pakusimama ili atoe pumba zake za kifo cha CHADEMA napo hatapaona tena.
 
maslahi ya kibiashara lazma yalindwe ilikua tu kutumia akili unaita wote wawili kwa wkt wako unawaambia ukipita usiniyeyusha over then unasubiria wachague.
 

Maskini Ritz amehamaki. Ni kweli Tunaima"Rahisi " atoke CCM ila Rais wa Nchi atoke UKAWA
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaa haaaaaaa
 

Attachments

  • 1436609105513.jpg
    43.5 KB · Views: 151
Mkuu mimi binafsi nnakushuru na nnakupongeza kwa kutupa hizo breaking news lazima twende mbele na turudi nyuma ccm inaelekea kugawanyika kama hakutakuwa hali itaendelea kuwa hivyo
 

Eti mpasuko utaikumba nchi kwani hii nchi ya Tanzania ni mali ya ccm watanzania tupo milioni 45 na ushee ccm ina waamini wasiozidi milioni tano tena wanaweza wakawa wamepungua iliondoka KANU kesha seuse ccm kwani hao UKAWA sio watanzania ? Ccm ijiandae tu kisaikoloji.
 
Acha panic....loohaswa kaeshakatwa tayar...no way out...tunaenda na bakar membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…