Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mkuu achana nae huyo. Watu wengi humu ndo walivo ukipinga hiki kilichofanyika tu wanajua kuwa wewe ni Team Lowassa. Hawajui kuna watu humu hawatiliwagi mashaka post zao coz ni watu wa facts na sio ushabiki.
Watu wanashindwa kuelewa kuwa sio kwamba tunapinga Lowassa kukatwa la hasha tunachopinga ni kumkata Lowassa na kumuacha Membe wakati wote ni watu wale wale na uthibitisho ni kwamba chama kilekile juzi tu waliwafungia kwa mda kutokana na mambo yao yaleyale wanayoyafanya.
Wanashindwa kujifunza tu kwenye scenario ndogo iliyotokea wakati wa uchaguzi wa TFF pale Malinzi alikwatwa na mwishowe akaishia kupata public sympathy na kushinda uraisi.

Jambo kuu hapa ni kuwa wote Lowassa na Membe walitakiwa wakatwe, sasa kumkata mmoja na kumuacha mwingine yale maneno kuwa hizi ni fitna yanapata nguvu na siku ya mwisho public sympathy inamnyanyua mtu hata kama kiuhalisia sio msafi.
 
Yaani EL anashangaza kweli, katika makada wote wa ccm kamuona hiki kikongwe kwamba kitaweza kumbeba mgongoni?
 
Sawa.

Wameonyesha ushupavu kwa kufanyia maamuzi maazimio ya Kamati ya Maadili tu bila sauti ya Kamati Kuu ya Chama,

kuogopa kivuli?

Tusubiri kitakachoendelea baada ya hapo.

Maamuzi yametolewa usiku,tusubiri kupambazuke, iwe mchana, jioni kisha tuhesabu siku ya kwanza, ya pili hadi uchaguzi

utakapofanyika....
 
Goma Linogile, Huyo muhindi ni wa Rostam, members anabebwa na kaka yake ilibidi na yeye akatwe ili mambo yapoe kidogo
 


Hawa jamaa bwana,,,,, yani hongo kwao nikama usingzi Shame on them
 
Wamechapisha noti nyingi ndiyo maana Shilingi imesuka thamani ... huku wanatudanganya dola imeimarika ...
 
kaka Wa taifa alishasema Uganda hakumuona na kama alienda nibaada ya vita kwenda kuburudisha tu

Nakumbuka alisema walikua wengi sana so Si rahisi kumuona na kuufahamu, Kumbuka wakati huo hawakua wanasiasa so hawakufahamiana. Acha Mambo hayo bhana babaangu nae alienda Uganda Mako alimwona?????
 
Yanaiangusha CCM siyo Taifa,CCM ikianguka Taifa linasonga mbele chini ya UKAWA.
 
haya uliyoyaandika ya kweli au ni hadithi uliyojitungia? kama ni kweli toa chanzo cha hii hadithi yako.ninachokijua lowasa ameshakatwa na hawezi kufanya lolote la sivyo apelekwe segerea

Wee nae unatuchosha kuquote thread yote.
 
Hapo tungekuwa tunamteua MWENYEKITI wa bodi ya uhasibu tungesems;Balance sheet ya Bodi(CCM) imegoma ku-balance,yaani LIABILITY IS GREATER THAN ASSETS.CCM Asset was MAKONGORO while Liability was Membe and Lowassa.

Capital hakuna mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…