Ni Asha Rose Migiro, Magufuli na JanuaryNasikia ni Amina Ally, J Makamba na Magufuli - Kweli?
Wacha bwana wenzie akili bado si zaohuu ni wakati wa lowasa kupima kama kweli watanzania wanampenda au wapambe wake walimwaminisha kuwa anapendwa sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake.
Mkuu lengo lao ni nini hasa?
Kimweri,
Ile nafasi ya dsg-un ni Ban KiMoon mwenyewe ndiyo anateua.
Mhusika hateuliwi wala hapendekezwi na Raisi wa nchi anakotoka.
Hao wafuasi wa lowassa wametulia jamani.? Huyu jamaa namshangaa sana wewe mtu umeshaondolewa na vikao kwanini ung'ang'anize?
Yan mkuu nimepgwa na butwaa kuona mwiz analiliwa et aje afanye mambo ya maana.. hv kwenye hcho chama kuna mtu wa kulilia hapo
wapi kingunge.
Imetoka tayari? Hapa naiona Picha ya JK mwaka 1995. Makamba atashinda kura za NEC, halafu atakatwa kwa sababu bado hajaiva kisiasa..Ni Asha Rose Migiro, Magufuli na January
Mkuu ulikuwa unataka wajibu vipi?Hawa wajumbe wa mkutano mkuu vipi? Yani kila anaeulizwa anasema yeyote atakayeletwa tunampitisha hiki chama vipi?
Tuletee wakwako uzijue rangi halisi za WATANZANIA!..magufuli ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali.
..ana kashfa nyingine ya kukaidi ushauri na kuvunja kituo cha mafuta mwanza. Serikali ilihukumiwa kulipa 14 billion. Mramba amefungwa kwa kutia hasara ya bilion 11.
..pia ana kashfa nyingine ya samaki wa magufuli.
..huyu mtu hana busara na pia ni dikteta. Wewe mfuatilie matusi ya chini-chini anayotupa kwa vyama vya upinzani.
..Magufuli ni mpenda sifa, mkurupukaji, na asiye na staha ktk kauli zake.
na hiyo ilitokea mara baada ya mzee mahiga kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama la umoja wa mataifa aliyehakikisha moon anapata uungwaji mkono mkubwa na nchi za africa (from AU) na za huko kwao moon...nakumbuka wakati wa mkutano wa sulivan hapo dar migiro alikuw akama mc na alimudu kweli... cha ajabu hata mahiga amekatwa ..
Nasikia ni Amina Ally, J Makamba na Magufuli - Kweli?