GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Akiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.
aende akajiunge na cha kingine yeye si anajimini raia wengi wanamkubali kwani lazima awe raisi kupitia ccm?!
Mkuu umeshuhudia gawiwo😁?
Mkuu JK ana uwezo mkubwa sana, usisahau kwamba yeye bado ni Rais wa nchi hii, huyo magufuli atapozwa kwa uPM, Amina ni Makamu kwa kuzingatia gender na uzanzibar wake. Makamba ni mtoto wa JK chochote atakachoamriwa na JK yeye atakubali tu. After all yeye ni naibu waziri, hata akipewa kawizara kanamtosha.
Rais ni Mwanausalama Bernad Membe.
akili nyingi sanaAkiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.
Raisi ni Membe. Wale 'wenzetu' Bora muanze kumsapoti mapema.
Jf kunani? accessibility iko very restrictive na bado hatupati thread kama kawaida? Mmeingiliwa na mwenyekiti?