Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Mabadiliko ya safari
Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli
Karibu kesho saa 4. Majina ni kesho
acha kuota. Nec wameanza kupga kura kama dk20 zilizopita. Mkutano mkuu wa3 bora utakuwa saa3 usk. Na mgombea urais no1 atapatikana majira ya saa9usiku.
Nafkri ACT kuna nafasi. Bw Lowassa aweza hitajika huko. usichelewe baba changamkia huko. Kama ulipendwa wewe na si chama wafuasi wako watakufuata. Sisi ni observer tu!bora uende kwa waasi wenzako
Tatizo lililopo ni how comes Bernad Membe aingie top 5????? kwa vigezo gani alivokuwa navo vya kumshinda Lowassa??????
Kama Lowassa kakatwa kwa nini Membe hakukatwa???? Ukiliwaza hili swali hata ukiwa raia wa kawaida tu lazima upate shida.
Swali lingine how comes Migiro amepenya hadi tano bora???? Tuseme Migiro uzoefu wa kimataifa na serikali kamzidi Dr. Mahiga???? Hapo hata kama hujaenda shule lazima ujiulize.
Swali lingine walimshawishi Jaji Ramadhani kuwalaghai kina Warioba ili wasiwashe moto??? alafu wamekuja kuwasuprise dodoma????? Haya ni maswali mengine mazito sana.
Swali lingine watu wanajiuliza Makamba kaprove kitu gani kwenye nini hadi kumshinda mtu kama Muhongo???? yaani hadi aingie tano bora????
Watu wanajiuliza vilevile Membe ana kitu gani special sana wakati alishawai kutamka kuwa ye ni mtu wa kisasi yaani akiwa raisi maadui zake 11 waamie kenya???? Hivi wale wazee wote makini hawakuliona hilo??????
Watu wanauliza kuwa how comesmtu aliyesema Tanzania kujiunga na OIC akiwa kama waziri wa mambo ya nje hadi akaitilafiana na baadhi ya viongozi wa dini leo chama kinamuona yuko sawa hata kuingia 5 bora?????
Ukiangalia kwa makini kuna maneno yamekuwa yakisema kuhusu project WAMA na hili ndo limekuja kujidhihirisha hapa.
KIUKWELI NI KWAMBA ILI HAWA JAMAA KUONEKANA WAKO FAIR WAREKEBISHE UAMUZI WAO JINA LA MEMBE WALITOE, MIGIRO ATOKE NA LOWASSA ASIWEPO ILA WAWEKE WATU AMBAO HATA WAKISEMA TUMEWACHAGUA HAWA BASI JAMII IWEZE ANGALAU KURIDHIKA NAO.
una hoja nzitoWakipitisha madudu bungeni Poa, Wakipitisha madudu huku kwenu povu hadi puani
Nafkri ACT kuna nafasi. Bw Lowassa aweza hitajika huko. usichelewe baba changamkia huko. Kama ulipendwa wewe na si chama wafuasi wako watakufuata. Sisi ni observer tu!
Mrembo una majibu mazuri hadi nimekupenda ghafla. Ntakupataje aisee??sema nguvu ya wezi...hivi kama wananchi mnanunuliwa kwa kanga na kofia sembuse pale hela ya ukweli inapomwagwa? hiyo ni nguvu ya hela za wezi na si nguvu ya wengi. Hatumchagui mtu kwa kuwa anapendwa...kama unampenda nenda ukanywe nae chai
Alishahama bbc mda mrefu sana sasa ni wa azam tvUnapenda kuangalia Video za Ngono kuliko Television Kimsingi Ndo alichokisema mzee Kingunge alivyokua akifanya Mahojiano na Mwandishi wa habari mwandamizi wa BBC Charles Hilary na alionekana kupitia Channel ten