Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

we nadhan ulikua unaangalia marudio AZAM TV & CHANEL 10.
ngoma ni leo kuanzia saa 3 uck

haya ndio nakutana nayo huku TBC1! Sasa hawa jamaa si wangeweka angalizo kuwa hayo ni marudio, vyombo vyetu vya habari kaazi kwelix2!
 
Kamati Kuu Imekosa Sifa, Imeteua Wagombea Wasio Na Chembe Hata Kidogo Ya Haiba Ya Uongozi, Kwa Mfano January Makamba Anasifa Ipi Kumpita Mwandosa Au Pinda? Napendekeza Halmashauri Kuu Ya C.C.M Iifukuze Kazi Haraka Sana Kamati Kuu
 
Acha wamalizane ili UKAWA iendesha gari kwenye mteremko bila kuhitaji wese!! Circulation with it's numbers never die.
 
Mkuu hututendeii haki watanzania manake bado hata kura haijapigwa..zile zama za mgombea wa ccm ndo rais zimepitwa na wakati..
 

tuliza nyege dogo subir utaja nambia
 
Makufuli huyuhuyu aliewataka wananchi kama hawawezi kulipa nauli 200 kwenye pantoni waogelee!! Arudishe kwanza nyumba za national housing alizojigawia yeye na gamba jenzie Maembe!

He is some one who speaks reality.
sehemu nyingine mlipe 400 ila pantoni mnataka 200, biashara ya wapi hii? Pantoni inatakiwa kujiendesha na kutoa huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…