Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ukiona mvi ujue busara ipo. Pia hana njaa Bali alitaka kutoa mchango wake kwa taifa hili. Hawezi kuoganaiz vurugu maana vurugu alizifanya kagera vitani
 


Umenena vema mkuu
 
Dr John Pombe Magufuli ndie atakaye peperusha bendera ya Tz na ccm. Mungu akampe afya na nguvu kuwatumikia wa Tz. Kusema kweli haki imetendeka na tunasababu kumuunga mkono Dkt Magufuli, he do a very gud job in ths nation.

Sema unasababu.
Nyie ndo mnaojifanya kuwatambua alafu akishaingia mnaanza kulalamika. Alafu tatzo watz hawajui kitu kimoja kuwa ccm wako watendaji lakn hata kama wako watendaji wazur vp, bado wakiingia madarkan watatenda sawasawa na chama kinavotaka sio yeye. Sasa tatzo ni chama sio yeye na kwa mantiki hyo uozo uko palepale refer mh. Six na BMK yake aliongoza kulingana na sera ya chama lakn yeye n mtendaj mzur tu, lakn linapokuja swala la chama hawi mzuri. Usipoteze kura yako mkuu kumbuka n miaka mitano
 
Makufuli huyuhuyu aliewataka wananchi kama hawawezi kulipa nauli 200 kwenye pantoni waogelee!! Arudishe kwanza nyumba za national housing alizojigawia yeye na gamba jenzie Maembe!

..huyo huyo.

..pia alikwenda Loliondo kupata kikombe cha dawa ya babu.
 

umesema chaguo la wengi je chaguo la wengi ni yupi kat ya hao?
Membe?
Makamba?
Migiro?
Amina?
.............................
Ukichana na magufuli ambaye wamemweka kusindiliza?
 
Endelea mkuu kutupa update sisi huku wa vijijini, safi sana ya saa tisa bado nn mwasho chaji itakata na solar ni folen, tuambie kwenye lisaa hili,nini kinaendelea, hongeraaaaaaa!

mimi yangu macho

Kamati kuu inakalia kikao saa 3 ucku kutafuta 3 bora.
 

Well said especially the issue of members of parliament wabunge hamsini kwa hamsini utakuwa ukombozi kwa watanzania.
 
dah hyo tatu bado tu


From Inside: Tatu bora(3)

▶January Makamba.
▶Magufuli.
▶Migiro tatu.

Inapangwa (Tetesi)

▶Magufuli
Anaandaliwa kuwa Rais.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…