Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nimegundua mtoa mada ni muongo.. hayuko Dodoma..ngoja niwe mvumilivu..fisadi lazima ling'oke
 
lowasa Ana mkono wa sweta? mana naona Kila mtu anakatwa, hakatwi. kwan hakukatwa mpaka sasa?
 

hizi mbwembwe hazidaidii tena kuwa na akili

watu wapo kazini hizi kelel zako hawazisomi
 
Walaumu na hao wengine pia kwamba wanatakiwa kuonyesha utumishi uliotukuka kuitoa CCM, kumbuka pia wapiga kura ni wengi kuliko wanachama wa CCM sema na hao mbadala wamekosa weledi wa kuonyesha vitu tofauti katika kuboresha maisha ya waTZ.

Matamshi yao na matendo yao kwa muda waliopata unawatisha wananchi na wanaona bora waendelee kuwa na Zimwi likujuualo, wapambe wao wamezuia wasikosolewe ili kuwajengea uwezo zaidi wakufanya maajabu na badala yake wanajichelewesha katika safari ya mageuzi.
 

haa haa vipi patachimbika? maana kingunge kasema kama lowasa atakatwa patachimbika.
 
Last edited by a moderator:
Kama Makufuli akiwa mgombea mweza ni bora angebak kuwa waziri tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…