Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
UKAWA wanakesha kufuatilia mchakato wa CCM wamesahau kabisa kama kwao wana mgombea urais.
UKAWA bado..kwani leo ukawa wanapitisha mgombea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA wanakesha kufuatilia mchakato wa CCM wamesahau kabisa kama kwao wana mgombea urais.
ha ha ha...leo jf....ndo chai,,ndo lanch,, ndo dinner
Ni mtu mwenye uwezo wa kununua Polisi yote, Takukuru yote, NA kamati za chama zote... ni zaidi ya Masai-boy!
Kamandaa na wewe unaamini kweli hiyo account ni ya Lowassa?Mods wataifuta hii kitu..sijui kwanini
Kikao cha maadil na usalama chini ya Mwenyekiti wake Ndg Jakaya Mrisho Kikwete kilichokutana katika ukumbi wa whitehouse kimemaliza hivi punde.
Kikao hicho kilichokuwa na ajenda moja tu ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea watano watakaopitishwa na NEC ya CCM baadae leo.
Taarifa iliyopo ni kuwa Jaji Augustino Ramadhani, Mhe Pinda, Bernard Membe, prof Mwandosya pamoja na mzee Wassira ndio waliopitishwa na kikao hicho.
Kikao cha Kamati Kuu kitakachoanza saa kumi na moja kitajadili majina matano hayo..
Inaleta muelekeo nilio nao. Ila jamaa wa kwanza hapo kwny red anaweza kuachwa kumpa moyo ili aondolewe kwenye 3cream.
Kamandaa na wewe unaamini kweli hiyo account ni ya Lowassa?
huyo atachaguliwa zanzibar na umagambani. hatuwezi chagua rais wa tanganyika toka nchi jirani kamwe.
........................
..........................
UPDATES.......
Tuhuma nzito zimetolewa na idara ya usalama wa taifa dhidi ya Edward Lowassa kuwa aliisambaratisha vilivyo idara hiyo nyeti. Kufuatia tuhuma hizo wazee waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa juu serikalini waliokuwepo ndani ya kikao cha kamati ya maadili na usalama wamependekeza kuwa Lowassa aondolewe mara moja na asijadiliwe tena kamati kuu.
Hizo ni habari za uhakika kutoka kwangu G Sam
dubu
Vipi umeshikw nn?
Ukisoma post za hapa ndan ...naweza sahau kama natakiwa nikalishe kuku zangu Na nifungie mbuz zangu
Kama Makufuli akiwa mgombea mweza ni bora angebak kuwa waziri tu....Hahaaa ngoja nisuke mkeka 5top (Augustino Ramadhani, Asha rose Migiro, Magufuli, Makongoro Nyerere, Mark Mwandosya .
Top 3 Augustino Ramadhani, Magufuli, Mark Mwandosya.
Na mwisho watakuwa hawa Augustino Ramadhani na mgombea mwenza Magufuli namaliza kufunga mkeka tuonane Jumapili.