Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Naani kakudanganya! Familia kuu ishateua maembe yakalimwe magogoni
 
Kwani Monduli kafukuzwa anachong'ang'ania ikulu ambayo hata ajachangia tofali ni kitu gani?. Awaambie Monduli wajipange rodini wampokee kama shujaa angalau ajifariji kwa wale wa nyumbani kwake

Anyway yeye ni mwanamume na sifa ya mwanamune ni kusitahimili maumivu wakati wa shida.
 
“Utaratibu wa mwaka huu una matatizo. Kilichotokea ni mazingira yanayotia shaka. Kwa sababu ya muda hakuna atakae kata rufaa. Inaonesha kwamba uongozi umeshakuwa na msimamo juu ya mgombea wanaemtaka,”-amesema Kingunge.

-
 
watu wa Lowasa watapiga kura za kutoa adhabu watampitisha Amina kuwa mgombea wa kupambana na UKAWA ,magufli hayumo kwenye tatu bora watu wa Lowasa wamefanya hivyo kkiweka chama halijojo mbarikiwe sana

That was my thinking too,kama ni kweli sioni CCM ikishinda......upinzani wajipange vizuri wakishindwa this time nao wapotee tuu.
 
asante lowasa maana umerudisha japo kidogo hela ulizotupiga kwa kutuhonga afu umekatwa.angalau na ww ule hasara kidogo jo!
 
Editorial-11July2015.jpg
hatari haah haa
 
I guess, january, maghufuli and migiro

kwenye tano bora hakuna aliyetegemea kama kama amina atachomoza hata pombe magufuli yeye mwenyewe hajaaman yaani ni kama kaokota embe dodo chini ya mwarobain...we subiri utaona
 
Magufuli, Migiro, Amina


mazingira yote ya kumla kichwa edo ni kumjenga membe...leo..humo ndani kura zinapigwa tu kukidhi sheria na katiba ila wenzio wana matokeo mkononi...
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Na wewe hujui unachohoji usipokuwa na uongozi bora utafanya hiyo kazi yako au ni maneno tu wewe MAKOYO
 
Back
Top Bottom