Huu upuz kwa wakat huu unatoka wap tena....cc tupo dodoma bwana acha kututoa kwenye mstari
Naona anakutolea stimu ya kitu cha Dodoma,vp kiko fresh au kama cha akina Makinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upuz kwa wakat huu unatoka wap tena....cc tupo dodoma bwana acha kututoa kwenye mstari
njia yote huko singida mpaka manyara yameandikwa hivyo kuanzia jumatatua akafute maandishi yake
Membe ndie atarejeshe iman kwa watz
Kwani Monduli kafukuzwa anachong'ang'ania ikulu ambayo hata ajachangia tofali ni kitu gani?. Awaambie Monduli wajipange rodini wampokee kama shujaa angalau ajifariji kwa wale wa nyumbani kwake
watu wa Lowasa watapiga kura za kutoa adhabu watampitisha Amina kuwa mgombea wa kupambana na UKAWA ,magufli hayumo kwenye tatu bora watu wa Lowasa wamefanya hivyo kkiweka chama halijojo mbarikiwe sana
hatari haah haa
I guess, january, maghufuli and migiro
Nami nahisi hivyoI guess, january, maghufuli and migiro
Magufuli, Migiro, Amina