Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?
Alikuwa Waziri wa Fedha wakati Dr Salmin Amour kule Zanzibar.

Jk kamleta kwenye game kama kijana wake.

Wote hao watano waliopitishwa na vijana wa JK.

Magufuli yeye ndiyo waziri ambaye hakumungusha JK ni kijana wake pia ni kijana wa Mkapa.

Makamba yeye kaletwa pale kumchomoa ni rahisi, kuna uwezekano akapewa Wizara ya Mambo ya Nje.

Kimsingi JK kafanikiwa kiweka vijana wake.

Huu ni mtazamo wangu tu lakini.

Rais wa Jamhuri ya Tanzania ni Magufuli na Amina ni Makamu wa rais.
 
Kweli lowassa ana nguvu kawatikisa mpaka na membe amekatwaaaa......duu!! Kweli mamvi alitishia uhai wa chama....ameona bora wakose wote
 
si hata mwaka 1995 ilikuwa hivi....ben akachomoza nyie subirini..yaan magufuli apitie dirishan kuingia ikulu!!..nyie subirini..ccm mpaka watangaze matokeo ndo uwaamini
 
ya kweli haya?
 

Ndio ukweli wenyewe huo....ila msipomweka Magufuli huu ndio mwisho wenu utakuwa.
 
Ole wao wamkate Magufuli...watanzania walio wengi hawawezi kuelewa kiswahili cha Nape
we huwafahamu watanzania...70% huwa hawajui wanachokisema ..wanapelekwa tu..kuna mmoja leo huko fb amesema hawa 5 bora wote ni wazuri kabisa..alipoulizwa swali huyu amina salumu unamfahamu vipi?...majibu yake we acha tu...
 
UKAWA ndiyo itakuwa bomba maana hawa wahuni wa CCM wapo madarakani kwa miaka chungu nzima, na siyo siri wameshindwa kuiongoza nchi kwa kiwango cha juu kabisa.

...........Nafuu apate mwanamke, wanaume wameshashindwa kuendeleza hii nchi.
 

Yaaa well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…