Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Magufuli kura 290, Balozi Amina kura 284, Dk. Migiro kura 280, Makamba kura 124 na Membe kura 120
Duh...nawe umekurupukia wapi tena?
Wameteuana yeye Na zuzu wake MBOWE bila mchakato wowote hahaha
Hakika. Rejea pia maneno ya JK kuwa CCM haitawaangusha. Itawaletea mgombea anayekubalika na Watanzania wengiKazi kubwa imefanyika.....
Upinzani kamwe hauwezi kushinda urais kwa kadri tume ya uchaguzi itakuwa imejaa makada wa CCM.
Wajumbe wako 324...
Wehuu hawaaa...
Au walimpigia m1 m1
Kwa upinzani UPI CDM wanatoa mgombea bila mchakato wowote yaani ZUZU MBOWE NA FUATA UPEPO WAO tayari mgombea:what::what::what::what::what::what::what::what: