Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Mhe. Mrema ana sifa Kama za Mhe. Magufuli na alifanya wonders.

Jitahidi kumpenda na kumuombea abadilike kwenye mapungufu unayoyaona Kama yapo. Otherwise he is the best candidate for now. No body is PERFECT!!!!

Queen Esther
 
Nape ana kazi sijui atapata jimbo gani la kugombea maana Magufuli lazima amtose kumpa nafasi ndani ya chama, Membe kama angepita angemuachia jimbo kule kusini.

Kweli hili fagio kila mtu kaumia kivyake.

Teh teh teh
Ritz kuna kitu tunajifunza ktk hili, kuna nafasi ambazo ukiwa kama kiongozi, hupaswi kuonyesha waziwazi unafungamana na upande fulani. lakini pia siasa huwa haitabiriki, haya yote yanaweza kuishia Dodoma, watu wakaanza upya na akapewa nafasi ndani ya chama chini ya Magufuli (kama atafanikiwa kupita)!
 
Last edited by a moderator:

He will fully support you as a citizen who abides by the laws of the land!
 
nashukuru kwa update
 
Daa CCM wamoja! UKAWA wamegonga mwamba CCM mbele kwa mbele..
 
Kete ya UKAWA ni magufuli na hizo chupi mbili...yeyote atakayepich atu, UKAWA wanaye......October 2015, kura za hasira
 
Wa kigamboni mjiandae kupiga mbizi tu!
 

Maoni hayo
 
Last edited by a moderator:
magufuli ana kura za kanda ya ziwa zote hapo na maanisha bukoba,mwanza, mara, geita, shinyanga, tabora, kigoma jamaa ndo Rais wetu 2015-2025
 
inaelekea UKAWA tishio hadi unahofu kiasi hicho unaanza kujipa moyo mwenyewe!!!
 
Wanataka kule ukabila haiwezekani.
Wanataka kuleta udini haiwezekani.

Huu ni wimbo unaimbwa dedication kwa Chadema wanao taka kutupelekea padri Ikulu!
 
In the absence of Makongoro then.. Magufuri is deserved.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…