Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Asaa hawa wehuu wanachezacheza si watuletee tutakacho bhanaa
 
Mkuu naona sasa Chato wajiandae kuna kipindi nilipita pale kulikuwa na taa za kuongozea magari.

Teh teh teh
Duh mkuu ulishafika na huko kumbe! Naam, Chato kuna trafific lights. Naona dalili zote kwamba Dr. Magufuli anapita. Mama Amina atakuwa Makamo.
 

Naomba mwenye link ya live streaming ya huu mkutano....
 
Kama wajumbe 324 na tuna assume wote wamepigia wagombea watatu jumla ya kura zinatakiwa kuwa 972. Zinaweza kuwa less lakini sio zaidi ya 972.

kajifunze tena mathematics mweupe wewe...x5 hint(max)
 
Team Lowassa tunampigia kura Amina ili ukawa wachukue nchi kiulaini,JK kamwaga ugali nasi tunamwaga mboga.
 
namuona sofia simba kwa sasa roho imesuuzika baada ya kuona wote wamekosa....hahhaaha
 
Round ya kwanza tu kura za Magufuli zinafunga mkutano hamna hata haja ya kwenda round ya pili.
 
Sioni mabango ya baadhi ya mikoa yakipungia ama ndo kambi zimevurugwa?
 
Round ya kwanza tu kura za Magufuli zinafunga mkutano hamna hata haja ya kwenda round ya pili.
Umeona eeeeh! Hapa hakuna haja ya kurudia kura. Zisipotosha inabidi zitoshelezwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…