Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hapo hakuna kulala naona. Du Huyo mama kapita kivipi!! Hatukumdhania katika 3 bora. Ataweza?
 
CCM is only targeting the Sukuma land. That's where the voters are!! Their intention is to continue hanging on the power as long as it takes. They're playing with people's mind. Poor Tanzanians I hope their strategy will backfire this time around!!

Nshu hiyo hatutaki
 
Magufuli kura 290
amina kura 284
migiro kura 280
makamba kura 124
membe kura 120

Magufuli ooooooyeeeeeeee
 
kura za maruhani siyo bora liwalo na liwe
 
Mkumbushe Padri Slaa kuwa Case yake ya kuiba mke wa mtu itaanza kuunguruma tarehe 20

cc Dr.W.Slaa

Wewe pamoja na huyo unayedai kaibiwa mke mmepwalala midushee haisimami.!! Yaani Mwanamke akukimbie mwanaume rijali? Hakyanani mmelegea kama mlenda wa kanseketwa..!! Mwacheni Mwanamke wa watu apate raha anazostahili, nyie nendeni hata kwa Cameron.. Mkishindwa masharti geuzeni hata jinsia..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
kwa uwajibikaji magofuli karibu anamfikia Lowasa, so he deserve to be a president.
 
Kimya kimya. Katangaza nia kimyakimya; kachukua form kimyakimya; kaomba udhamini kimyakimya; kaingia Dodoma kimyakimya; kachukua kura za NEC kimyakimya. Sasa ndio wakati wake wa kuongea kuomba kura kwa wajumbe wa NEC. Amekuwa mtiifu kufuata taratibu za chama kama ambavyo ni muumini wa kufuata sheria na taratibu. Hapa tutakuwa tumepata kiongozi ambaye atalitendea taifa hili haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…