Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Unahamisha tu mkeka kijana? Ulianza kwa Lowasa, mara Mako, ukaja Membe, sasa ni Magufuli, vipi akikatwa utakwenda kwa mama yako yupi?
Sijawahi kumshabikia Lowasa wala Membe wala Makonda. Namuunga mkono mtu mwenye sifa kama Magufuli
 
Kuna gari la matangazo la ccm linapita mitaani kutangaza kwamba ccm itamtambulisha mgombea wake wa urais uwanja wa jamhuri saa7:00mchana kesho jumapili
 

Haya maneno yana uwezekano mkubwa wa kutimia.
Mwanamke anaenda kuwa amiri jeshi mkuu.
 
Sijui UKAWA watawambia nini wananchi kuhusu utendaji kazi yake maana Magufuli kila kijiji cha Tanzania kipo kichwani.

Maalim vipi tena, Kukariri ndio imekuwa sifa ya urais?. Basi wanaokariri kile kitabu chetu chenye maandishi ya kiarabu wapewe urais wote...
 
Magufuli kura 290
amina kura 284
migiro kura 280
makamba kura 124
membe kura 120

Makufuli oyeeeeeeeeee
 
Hakika ni raha hapa Lowasa ndani ya nyumba!
 
Jamani watu hatuamini kila ukweli ndio huo. Zile mbwembwe za kuwa mafuriko hayazuiliwi kwa mikono ila Leo imekua kinyume chake yani jamaa wamezuia kwa kidole tu???
 

Attachments

  • 1436642264963.jpg
    29.9 KB · Views: 1,543
Masikini Pinda, hajakatiza hata top 5!
Nimemuona anashangaa shangaa tu.
 

wanakuzuga tu mkuu,wanajifanya wana uchungu kwani wao wamekosa nn?hebu tuwaangalie mara mbili mbili hawa wanaojifanya wameumizwa au wameshangazwa na lowasa kukatwa.!km walizoea kuishi kwa dili au ujanja ujanja wakat umefika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…