Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hahaahahhhaha.... Ukawa wanatia huruma sana
Nadhani hawakuwa na timing nzuri. Hamuwezi kuendesha vikao vyenu kama vya sendoff wakati chama kubwa linaendesha vikao vyake. Walipaswa kusubiri kwanza mpaka CCM wamalize mchakato wao ndo na wao wajipange
 
ha ha ha ha ha, ama kweli safari ya matumaini, maana haina uhakika ni jambo la imani. Basi tuendelee kutembea katika ulimwengu wa roho kama sisi wenyewe tuko kweli rohoni, ama sivyo imekula kwetu
 
Baada ya kupatikana majina 3 na wanawake wawili kuchomoza ktk kundi la wanaume 3,ni wazi Halmashauri kuu ya ccm imewaamini zaidi mama zetu kuliko wanaume.

Tangu alipoingia madarakani mwaka 2005,Rais anayemaliza muda wake,moja ya ahadi zake ilikuwa kuwainua wanawake na kuwaamini hata ktk nafasi kubwa za kisiasa. Amefanya karibu kwenye kila idara amewapa nafasi kubwa na kwa kiasi fulani hawajamuangusha.

Ombi langu kwenu,hakuna zawadi kubwa atakayoifurahia baba ritz 1. km kuteua jina la mmoja wa hao akina mama. Hii ndo zawadi yake pekee ambayo aliiota siku nyingi.

Nawasihi msirubuniwe na watu walioumizwa na mfumo dume. Mpigieni kura nyingi sana Dr.Asha Rose migiro. Magufuli atakuwa Pm.
 
Jamani hamjanionea mzee kingunge hapa ukumbini? Namtafuta simuoni wazee wote wa heshima WA nchi hii wapi high table yeye simuoni kajificha wapi?
Kwani yeye ni mujumbe? Yaani yule mzee nina hasira naye sana. Alitaka kutuharibia chama chetu
 
​Ili ukawa wapete kwa urahisi siyo?

Mimi ninavyojua ni kwamba kanda ya ziwa atokayo Magufuli inao wajumbe wengi wa mkutano mkuu kuliko kanda yoyote hivyo hawawezi kumwacha kijana wao na pia sifa ya kanda yao kumtoa raisi. Hali kadhalika Lowassa hana neno kwa Magufuli na kwa vyovyote vile alivyo mnyenyekevu kinafiki lazima atakuwa ameshakwenda kwaLowassa kupiga magoti kama ilivyo desturi ya wasukuma kumwomba asimtupe na kumbukumbu zangu zinaonyesha Magufuli hajawahi kumsema vibaya Lowassa popote. Hasara kubwa itatokea pale wajumbe watamwaga ugali na hata kutoboa sufuria watakatekeleza hasira zao kwa kumchagua Amina toka Zenj kwani yaweza kuwa uchochoro rahisi ukawa kushinda. Unajua kuna mila itakuwa imekiukwa hata kama haipo kikatiba wala haijarasmishwa. Ni utamaduni uliozoeleka bara kuwa akitoka raisi mwislamu atakaefuata atakuwa mkristo. Hivyo kwa utamaduni huo safari hii anatakiwa awe raisi mwislamu. Madhara ya kutozingatiwa utaratibu huu si ajabu wakristo wanaweza wasitoe kura za kutosha au wasipige kabisa. Vivyo hivyo uahirikiano wa raisi na hizi taasisi za kikristo nazo mapenzi yao yataathirika. Mwisho nazo kura za wanawake kutotoa kura wanapoona jina la mwanamke kama mgombea. Hata hivyo tusubiri kupitishiwa hilo jina la mpeperusha bendera ya kuwania uraisi.
 
Dr slaa ukawa hata hawasikiki tena wamefunikwa na ccm! ccm wamesha chukua nchi hamna jinsi

Wamechukua nchi ipi???
Na ukawa unajua kinachoendelea mkuu, sasa majamaa leo wamenunua media zote. Kama hyo clouds wameamka nayo, habari ya ukawa utaisikia wapi hapo sasa Tar 14/07 mambo yote hadharani
 
Nadhani hawakuwa na timing nzuri. Hamuwezi kuendesha vikao vyenu kama vya sendoff wakati chama kubwa linaendesha vikao vyake. Walipaswa kusubiri kwanza mpaka CCM wamalize mchakato wao ndo na wao wajipange

Nasikia watu wamegoma Slaa kuwa mgombea Urais...walikuwa wanaiga CCM...wakajikuta wana kosa air time..
 

Chadema mtasema mengi sana hayasaidii, jadilini sasa mgombea wenu wa UKAWA basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…