Baada ya kupatikana majina 3 na wanawake wawili kuchomoza ktk kundi la wanaume 3,ni wazi Halmashauri kuu ya ccm imewaamini zaidi mama zetu kuliko wanaume.
Tangu alipoingia madarakani mwaka 2005,Rais anayemaliza muda wake,moja ya ahadi zake ilikuwa kuwainua wanawake na kuwaamini hata ktk nafasi kubwa za kisiasa. Amefanya karibu kwenye kila idara amewapa nafasi kubwa na kwa kiasi fulani hawajamuangusha.
Ombi langu kwenu,hakuna zawadi kubwa atakayoifurahia baba ritz 1. km kuteua jina la mmoja wa hao akina mama. Hii ndo zawadi yake pekee ambayo aliiota siku nyingi.
Nawasihi msirubuniwe na watu walioumizwa na mfumo dume. Mpigieni kura nyingi sana Dr.Asha Rose migiro. Magufuli atakuwa Pm.