Ni kweli Mkuu. Hawajaafikiana na walipoona jina la Pombe Magufuli ndo wamechanganyikiwa kabisa. Walitaraji kuona CCM inamteua Membe ili wapite kwenye mteremkoNasikia wameshindwa kufika muhafaka wamesitisha kikao..
Mkuu, kuna watu leo wanafufuka huku wengine wakifa. Kuna id kama Ocampo four, Minyoo, TeamLowasa, funza nk nadhani tutazipoteza kabisaHeh!!!!!!!!!!! Mkuu umefufukia wapi?
Nasikia walikuwa wanaendelea na mkutano wao. Yaani kama watoto yatima vile
Daa CCM wamoja! UKAWA wamegonga mwamba CCM mbele kwa mbele..
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...
I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi
Watakuwa wamejitoa. Ndo maana mkutano unadelay coz hakuna uchaguzi tenawale kina mama wamejitoa nini ?..maana naona ni mmoja tu anayesalimia hawa wengine wako wapi?....
Dr slaa ukawa hata hawasikiki tena wamefunikwa na ccm! ccm wamesha chukua çnchi hamna jinsi
Wapo hapo kwa sababu ya jinsia zao Sio uwezo wao.!wale kina mama wamejitoa nini ?..maana naona ni mmoja tu anayesalimia hawa wengine wako wapi?....
Mgombea Urais wa UKAWA atatangazwa 14/07/2015, vikao vya mashauriano vimeahirishwa salama na mambo kadhaa tayari yamefikiwa salama.
Atakayeshindwa kulipa sh.200 hapa feli kwenda kigamboni, apige mbizi.
Haya si maneno ya kidictecta jamani???
subiri tarehe 14.07.2015 Utaisoma namba Ukawa ni moto wa gesiUKAWA mchezo wa kuiga iga kwa wakubwa wao umewatokea puani sasa wameshindwa kufikia suluhu na wamekosa air time!
Wataisoma namba!