Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nasikia wameshindwa kufika muhafaka wamesitisha kikao..
Ni kweli Mkuu. Hawajaafikiana na walipoona jina la Pombe Magufuli ndo wamechanganyikiwa kabisa. Walitaraji kuona CCM inamteua Membe ili wapite kwenye mteremko
 
Magufuli anafaa, Tanzania kwa sasa inahitaji rahisi wa kuamrisha. Apeleke nchi, viongozi wenzie na wananchi kijeshi jeshi.
 
wale kina mama wamejitoa nini ?..maana naona ni mmoja tu anayesalimia hawa wengine wako wapi?....
 
huyu lukuvi mbona anajipendekeza kwa mheshimiwa rais dk magufuli
 
Naona Lukuvi ameshakua mpambe wa Magufuli, Hii kweli usinisahau kwenye ufalme wako. !
 
UKAWA mchezo wa kuiga iga kwa wakubwa wao umewatokea puani sasa wameshindwa kufikia suluhu na wamekosa air time!

Wataisoma namba!
 
Hata Lindi hawana kinyongo wameitikia sijui nyumba ya jirani kilimanjaro na Arusha wenzangu mulisikia?
 
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...

I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi

Bora wewe umeonyesha mapema kabisa mtazamo na msimamo wako manake "wanjanja wanjanja" wengine kama wewe wenyewe bado tu hawajaonyesha wanasimamia wapi kwa madai kwamba wanapima upepo unavumaje! Na mwaka huu "wanjanja wanjanja" wote kazi mnayo!
 
Back
Top Bottom