Smart, ungenukuu au kutoa source. Usijari - as usual!
Wale vijana wake alikuwa anawalipa laki 7 kwa siku!
lowasa katajwa ukumbi umelipuka kwa shangwe....!!!
hana plan B yule.....
Kinana ni kiongozi mwenye busara ya hali ya juu hakuna kabisa kama huyu UKAWA!
Kinana mbona hajamtaja kingunge? Au kakimbia?!