Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mimi nasubiri Lowassa atoe tamko tu mimi nifanye yangu.Huu ni uonevu uliokithiri..I hate JK!

mtoto wa msoga huyo...hatabiriki eti..we si umeona panya alivyotolewa ndani ya mtungi!!..
 
Pinda ana hasira wakati hajapoteza hela nying hata haizidi 20M! Wakati Lowassa kapoteza zaidi ya 200B
 
Lowasa yupo mwili pale lakini akili zake zinawaza ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…