white-frank mhiro
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 760
- 165
jk kuchoka au vipi??? mbona kuongea kwa polepole......???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lowasa kawa mpole hadi namuonea huruma
Mimi nasubiri Lowassa atoe tamko tu mimi nifanye yangu.Huu ni uonevu uliokithiri..I hate JK!
jk kuchoka au vipi??? mbona kuongea kwa polepole......???
jk kuchoka au vipi??? mbona kuongea kwa polepole......???
Sio unafiki huo ndio ukweli wenyewe.Wajumbe wa ccm wakisikia jina la Lowasa wanashangilia kinafiki
Wadau ni viongozi gani wa upinzani waliopo ukumbini?
hapa nimemshangaa huyu jamaa sijui ana akili gani.Tanganyika iwe na rais mwanamke mzanzibari!?
jk kuchoka au vipi??? mbona kuongea kwa polepole......???
jk kuchoka au vipi??? mbona kuongea kwa polepole......???
Jk amechoka kabisa anaongea kwa shida .
Membe yupo ukumbini?
Sio unafiki huo ndio ukweli wenyewe.
Sio unafiki huo ndio ukweli wenyewe.
Tarehe 14.07.2015 mgombea uraisi kupitia Ukawa atapotangazwa nchi itasimama kwa muda hii ccm ni cha mtoto moto wa gesi unakuja