Huyu anajua mpaka samaki wenye mimba.
Anatafuta kura za kundi la Lowassa.....
Na usishangae wakampigia kura na kumchagua....
Lolote laweza kutokea
watu wamechoka, wanataka wakalale
Baba yake ni Mtengeti...mtengeti migiro
Migilo amejieleza vizuri kuliko magufuli
yupi huyo maana si unajua walivyo wengi ka platoon ya kivietnam?