mbona ukumbini anashangiliwa saana
Mbona wanashangilia wanavunja kanuni?
Mbona wanashangilia wanavunja kanuni?
Hahaaa kweli huyu mama ni mzuri kiukwrli uongo mbaya hachoshi kumtazama.
Huyu jamaa msanii tu kama Dr kikwete.e
Migilo amejieleza vizuri kuliko magufuli
Kinachohitajika hapo ni kuwashawishi wajumbe wamchague....Mbona pombeeee magufuli anaongea pointless kama anaomba kura za ubunge