Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

kikwete mhuni kabisa..kaahirisha kikao mpaka kesho asubuhi
 
Sasa nani atalinda kura? Maana hawa jamaa kwa wizi wa kura na mizengwe hawajambo
 
Ndio sisiemu hiyo, kula bata tu. Kura 2500 zinahesabiwa usiku mzima! Haya mmeongezewa siku moja ya posho...
 
Wote hawakutegemea ... wameokota dhahabu njiani...tuna kazi kweli watanzania!
 
Hapa wamestuka timu lowasa inaweza mpiga chini magufuli, so wanataka kwenda kucheza na matokeo kwanza
 
Inategemea nini sasa km nina IQ kubwa na uzalendo mkubwa kuliko wewe kengde hata nikilewa nini kitakuongezea gray matter?

Inategemea, mwenye IQ kubwa si lazima kujisema, Watu wanakuona na kusema.

Kumbe IQ ni umahiri wa matusi, sikujua!!
 
 
Ni Msukuma au Mhaya?

Ni Msukuma si mhaya.

Wilaya ya Chato ina wasukuma wengi sana na kabla ya Geita kuwa mkoa ilikuwa ndani ya mkoa wa Kagera ila sasa ipo ndani ya mkoa wa Geita, kama Edson alivonisahihisha hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…