Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Duh, huo upigaji kura...kweli bado tuna safari ndefu!
Yaani kila kitu Nchi hii bado sana! Ngoja mizungi iendelee kutupiga tu make hamna namna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, huo upigaji kura...kweli bado tuna safari ndefu!
Kama kweli bado wana hasira,hawatajali uwezo wa mtu bali kukomoana tu.Ila kama hasira zimeisha,basi atapita Magufuli.
Hayo ni matokea ya kukomoana tu.na ndio kinachosubiliwa hapa....na huyo mama kwenye tatu bora kawa wa pili na magufuli kamzidi kura sita tu...
Heee kikao kimeahirishwa.
Hizo kura si zitachakachuliwa?
Heee kikao kimeahirishwa.
Hizo kura si zitachakachuliwa?
Inategemea nini sasa km nina IQ kubwa na uzalendo mkubwa kuliko wewe kengde hata nikilewa nini kitakuongezea gray matter?
Wanabodi leo nguvu ya Lowasa ndani ya CCM imejidhihirisha wazi na hii ni kutokana na wajumbe wanaomsapoti kuamua kupiga kura za bora tukose wote na hili likifanyika watamchagua mgombea mwanamke tena wa kutoka Zanzibar na hilo likifanikiwa tu Lowasa njia nyeupe Magogoni kwani kwa gharama alizotumia na ambazo anaendelea kutumia mpaka sasa na kama kweli ACT ni chama chake na kwa jinsi alivyotumia nafasi ya kutafuta wadhamini kujitangaza nchi nzima na kuona jinsi anavyokubalika je akigombea kupitia ACT au chama chochote huyo Mama ataweza kupambana na Mamvi? Kwa mnaoanglia mkutano wa CCM unaoendelea sasa hivi imedhihirisha wazi EL ni chaguo la wajumbe karibu wote wa mkutano huo kwani kila linapotajwa jina lake ukumbi wote unalipuka kwa kushangilia je hamuoni kama hao wajumbe wanaweza mpigia mgombea mwanamke ambae kwa hali halisi Nchi yetu bado haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke? Pia Mamvi ana sapoti kubwa sana ya wab
Mkuu nilisema mchana kama team lowassa akiamua kucheza michezo yao tunayoifahamu....membe akatizi top 3 ...kwa taarifa nilizonazo zisizo rasmi ni kwamba membe ndo alipata kura kidogo kuliko wote...120 yaani hata January kamzidi....sas nahisi team lowassa watamweka mwanamke tena yule wanayemtaka ili litimie lile neno la ukimwaga unga namwaga mboga...halafu ccm wanalala njaa...