Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Sijui wanaompenda wakina nan maana uku kwetu kila mtu amefurai yeye kukatwa....team lowasa zeeeeeee
 
Tunasubiri kauli tuu, ilikuwa ni safari ya matumaini kama angepitishwa na CCM, sasa itakuwa ni safari ya ukombozi wa pili wa Mtanzania!, akipita Amina au Migiro, Mwamba wa Kaskazi ukihama chama, CCM inapigwa chini kama kumsukuma mlevi!, ila akipita Magufuli, hata 'jamaa yangu' atajishauri kwanza!, kwa sababu siku zote, determinant ya nani ni rais wetu ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa!, hivyo akipitishwa Magufuli, wale kina Ngosha wote waliokuwa kambi ya Lowassa, watarudisha majeshi nyumbani!, hivyo hata mwenyewe anajua, akipita Magufuli, yeye hata akijitoa CCM, itakuwa ni wastage of time, kwa Magufuli ni jembe!.

Ukipata muda tembelea hapa
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Pasco

Pasco umeongea ukweli ccm kupigwa chini halina ubishi hata wenyewe wanatambua vipi safari ya matumaini inaendelea ?nakumbuka ulisema Lowasa ni raisi iwe kwa ccm au nje ya ccm .
 
Last edited by a moderator:
Kweli asili haipotei,maCCM yanajichakachukulia hata viuchaguzi vyao,au Ndio rehearsal ya kuiba kura October??!
 
Acheni ujinga watz uchaguzi huu unawapeleka kuwa wtumwa kwa miaka zaidi ya 100 ktk hii mikataba ya kushenzi.JIfanyeni mnatafauta sifa za kuwa engineer na ukima mwingine mliofundinshwa ktk akili z akijamaa na wappuuzi wengine.Sasa hivi kenge anayeingia ankwenda uza gesi na kila kitu na mwishowe mtajikuta mnakuwa magaidi ili kutetetea nchi kwani hakuna njia mbadala ya kubadili hiyo mikataba...hawa wagonjwa wa ccm wnegine watakuwa wamekufa aua wanajiliza uongo kwamba na wao ni wagonbania haki ya kurejebisha mikataba.

MKUU TULIA DAWA UKIENGIEE...

Dr. Magufuli akipita ... Hamna chenu UKAWA .. tena kura zitazidi kupungua....
 
kila binadamu ana akili zake katika dunia hii,,akili hizo ndizo humuongoza kila binadamu kuamua kila kimfaacho.... Na hiki mimi ndicho kinifaacho,,, nature ya taaluma ya magufuli inaonyesha wenye taaluma hizo huwa ni watendaji na sio blah blah kama wanataaluma wengine. Huyu jamaa taaluma yake amesomea fact na hata yeye anaamini kwenye fact na sio uong uongo uongo... Ilipofikia tanzania inahitaji adolph hitler ambaye ataua wazembe, kwa katika vyama vyote sijaona huyo adolph hittler basi kuliko kupoteza kura yangu kwa maana ya kutopiga kura basi bora nimchague mtu aliyesoma science kwa maana amesomea fact na sio vitu vya kufikilika angalau nitakuwa nimeitendea haki nafsi yangu...Hayo uyatakayo bro yanahitaji damu imwagike na sio kwenye box la kura,,,
Zako hazitoshi kutwa akili..unaweza kuwa uan kitu km ubongo ila si lazima kiwe ni ubongo unaofanya kazi..kinaweza kuwa ni material ya kujaza hiyo nafasi ya wazi.Hata nikilewa siwezi kuw akenge kmw aswahili.Hii mizaha mnafanya kama ilivyokuwa bungeni ni wazi hamjui nini mnafanya..na waswahili hawatakuwa na dhamani..bahati mbaya watz wamewapa kila funguo waswhaili ndio wawapangie.Hitler wa nini...watz wanahitaji kuondoa upuuzi ktk media na polisi na usalama.Waswahili wakajilize huko uswazi km njaa zinauma wamepewe kula hata km hawajalipa kodi.Ujinga mnaendekeza halafu mnaleta habari ndeefu sana.Lowasa alileta ujinga wa waswazi akajidai na yeye si wa kaskazii ..sasa akatulizane na masaai wenzie huko losliondo..Na ccm sasa ndipo itaface reality kwanini waswahili siku zote ni wa hovyo na selection zao.Anatuletea nypara akidhani kwamba kuw akiherekehere ndiko kunasema ufanisi,utendani na uwezo wa kuratibu mambo....this is a goddamn lunatic plan.
 
Kuna mchezo unaenda kufanyika usiku huu ambao ni wa hatari sana, Lowasa sio mtu wa kumpa nafasi
 
Magufuli anaweza moto wa Dr.Slaa?
Dr.Slaa ana moto gani? CCM hata wangemsimamisha Mzee Majuto bado angemtupa mbali Dr.Slaa achilia mbali Dr.Magufuli.

Sasa Dr.Slaa zile drama zake za orodha ya mafisadi hamna tena.
 
MKUU TULIA DAWA UKIENGIEE...

Dr. Magufuli akipita ... Hamna chenu UKAWA .. tena kura zitazidi kupungua....
Ukimya wa Lowasa utaipasua ccm vipande-vipande arusha sombetini tumeshapokea wanachama 200 wa team ya Lowasa wamehamia Chadema leo bado monduli kesho kimeshanuka
 
Back
Top Bottom