Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
...leo wanacccm wameonesha unafiki wa kupindukia,hivi kweli kati ya wanachama zaidi ya 2000 hakuna hata mmoja aliyekuwa na swali japo moja kwa hao wagombe watatu?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehehe naona leo unahoji mademu tuu.
Teh teh teh si unajua tena mkuu inabidi tuwawezeshe umecheki mwenyewe 3bomba ya magamba??! ebu fikiria mmama km Waridi-Migiro enzi zake anaonekana alikuwa pini na class fulani km Jokate wa leo!
Tuwawezeshe,tusiishie kwenye mambo yetu yaleee!!!
Mimi nataka sana Da Amina ateuliwa kupeperusha bendera ya CCM na usiku huu nitatambika ili tamanio langu liwe kweli.
Naombeni muungane nami kwenye tambiko langu ili Da Amina aweze kupita.
Go Da Amina go!
Kuhesabu kura tu hadi kesho? Hapa kuna namma inafanywa ngoja tusubiri.
inaonekana mama migiro alijitunza sana katika ujana wake,huwez kufananisha na dada zetu wa siku hizi
Magufuli hana jeuri ya kuwasumbua mafisadi,mfumo utambana lakini pia sio msafi mpaka kuwanyooshea kidole wenzake
Hahahaaaaaa hilarious.
Kwa kiwango cha Amina, hatuna jinsi! Vinginevyo awe kama picha! Mapungufu ya Magufuli kwa mambo ya nje kama yapo yatakuwa 'covered na Rose! Amina hatufai kabisaa!sasa wote watatoka bara mkuu?
Mimi nataka sana Da Amina ateuliwa kupeperusha bendera ya CCM na usiku huu nitatambika ili tamanio langu liwe kweli.
Naombeni muungane nami kwenye tambiko langu ili Da Amina aweze kupita.
Go Da Amina go!
Imekuwa ni funzo kubwa tu. Miaka ijayo kutakuwa hakuna mbwembwe kama za kutafuta wadhamini 800,000 badala ya 450
Naomba wamuwwke Mwanamke ili Ukawa tuchukue nchi mapema xana.